Pius msekwa the political scientist

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Nimepitia article ya Mzee Pius Msekwa akitoa maoni yake juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
anadai kwamba yeye ni Political scientist, naquote

"The results of the 2010 general elections clearly shows that the popularity
of CCM has gone down by a large number of percentage points since the last general election,
it would certainly be helpful for the ruling party to make deep analysis of these results in order
to ascertain the true courses of this unsatisfactory performance, as compared with its brilliant
performance in the previous general elections of 2005"

Tujadili maoni haya
Kwanza, si kweli kwamba Popularity ya CCM imeshuka, bado iko juu sana,Bali popularity
kilichonacho ni kwamba ndio chama ambacho watanzania kwa kasi na kwa wingi wame
anza au tayari wamekikataa.

Mimi naweza kusema kwamba, Popularity ya CCM imeongezeka zaidi sasa, sababu ni sasa
ndio watu wanajua zaidi elimu ya uraia na ni sasa ndio watu wanajua kwamba maisha bora,
huanzia na msingi wa kisiasa ama usimamizi wa kisiasa katika uendeshaji wa serikali, na
kwamba ccm ndio inashikilia dora na ndiyo iko responsible na ufukara tulio nao, miaka
michache iliyopita watu walikuwa haoni kama ufukara wao unasababishwa na ccm, na ccm
was confortable, walikuwa wanakula na vipofu.

Nadhani anachomaanisha ni kwamba, The popularity which is in their favor has fade away,
but they are amassing popularity which it driving them to the hell,Kokote nchini ukienda
ukauliza wananchi watakuambia wanakifahamu chama hiki vizuri sana, na watakuambia,
pia kinaitwa chama cha magamba, ama chama cha mafisadi, ccm is extraordinally popular,
lakini they do not want it,

Pia, Mzee huyu ambaye katika maoni yake hayo anajiita political scientist, anasema, ccm needs
to make a deep analysis to ascertain the true course.., Kweli Political scientist ambaye ni mwenyekiti
wa chama hajui sababu za chama chake kukataliwa ama kupoteza umaarufu.

Na je, hiyo deep analysis ndiyo ile ya Mukama?
 
Political scientist atangeneze hypothesis yake itakayo iprove kwa nini CCM imepoteza popularity,na bado
 
Back
Top Bottom