Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 62,485
- 107,962
Maneno yako yamenifanya nicheke tehAisee nimeamini pesa hakuna mtaani yaani hili tangazo limesomwa na watu 1000+ hakuna yeyote aliyekuja seriously kununua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yako yamenifanya nicheke tehAisee nimeamini pesa hakuna mtaani yaani hili tangazo limesomwa na watu 1000+ hakuna yeyote aliyekuja seriously kununua
Usicheke mkuu hiyo ndo hali halisi!Maneno yako yamenifanya nicheke teh
Hali ngumu hata hela ya kukodi frem hakuna tehUsicheke mkuu hiyo ndo hali halisi!
Mie msaada wangu maombi tu nakuombea ufungue biashara, utanikopesha ha ha ha ha haEvelyne nikopeshe mimi nichukue nifungue biashara ! MAMBO YAMEKUWA MAGUMY
Kaunga,asante kwa ofa yako lakini iko chini sana.Laki na nusu kwa vyote
Mimh. nataka nguo zilizokua dukani,kama zipo nije kuzikagua tufanye makubaliano.View attachment 366660 View attachment 366663 View attachment 366664 View attachment 366664 View attachment 366665 View attachment 366665 Vitu vifuatavyo vinauzwa bei chee!;Displaying boards 2 ukubwa futi 4*8 zikiwa na hooks 40vyote tsh 140,000/=, showcase ya Aluminum ya ukutani tsh 60,000/= pia kuna marine Boards zilikuwa zinatumika kama shelves tsh 3000/=@ Vinapatikana TABATA dsm 0786 642360.Ukichukua VYOTE bei inapungua.
Karibu mjamaa1