Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Mbona waziri Ongeri wa kenya alisikika bbc akisema ni silaha za kenya tena, mchanganyiko maalum hapa!
gm,
always take their comments with a grain of salt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona waziri Ongeri wa kenya alisikika bbc akisema ni silaha za kenya tena, mchanganyiko maalum hapa!
Silaha zinaelekea Sudan, hii kitu imefika pabaya ndio maana imebidi waseme Kenya, kwa sababu kupeleka silaha Sudan wakati wanajidai wanapinga mauaji halafu wanataka kumhukumu Raisi wa Sudani ni mambo ya Aibu. Lakini ni mzigo wa SudanCha kujiuliza maswali ni kuwa Kenya tokea lini wakanunua silaha/ spea parts kutoka Urusi? Silaha kubwa kubwa kiasi hiki ni kwa ajili ya maandalizi ya vita ipi? Sio ajabu tumedanganywa na pengine hizi silaha hazikuwa za wakenya.
Kalaghabaho!! unadhani wanafanya bure sioo? Bepari afanye kitu bure!?Wamarekani ni watu wazuri sana, tena ni walinzi wa mataifa yote ulimwenguni; wanatusaidia kupambana na Magaidi pamoja na Itikadi kali duniani.
Wako Iraki wanajitahidi kuliwezesha lile taifa liwe la amani na sio la magaidi.
Wako Afghanistani wanajitahidi kupambana na mafedhuli Alkaida na Talebani hadi damu ya mwisho.
Big up Americans.
Silaha zinaelekea Sudan, hii kitu imefika pabaya ndio maana imebidi waseme Kenya, kwa sababu kupeleka silaha Sudan wakati wanajidai wanapinga mauaji halafu wanataka kumhukumu Raisi wa Sudani ni mambo ya Aibu. Lakini ni mzigo wa Sudan
Cha kujiuliza maswali ni kuwa Kenya tokea lini wakanunua silaha/ spea parts kutoka Urusi? Silaha kubwa kubwa kiasi hiki ni kwa ajili ya maandalizi ya vita ipi? Sio ajabu tumedanganywa na pengine hizi silaha hazikuwa za wakenya.[/quote]
Kubwajinga,
Heshima yako mkuu.
Wala hujakosea mjomba.Hebu soma hii article hapa chini unambie...
Hijacked tanks 'for South Sudan'
The 20-man crew of the hijacked Ukrainian vessel, MV Faina, stand side-by-side along the ship's deck after the US Navy asked the Somali pirates to prove the hostages were being well looked after. One hostage has reportedly died since the stand-off began two weeks ago.
The BBC has seen evidence suggesting that the Ukrainian ship being held by pirates off Somalia is carrying weapons and tanks destined for South Sudan.
A copy of the freight manifest appears to show contracts for the hardware were made by the Kenyan Ministry of Defence on behalf of South Sudan's government.
This would directly contradict repeated statements by Kenya that the weapons on board the MV Faina are for its army.
'Diplomatic embarrassment'
A copy of the MV Faina's manifest given to the BBC appears to confirm that the contract was issued on behalf of South Sudan, although the Kenyan defence ministry is named as the consignee.
Military balance
Last week, Western military experts told the BBC that the tanks on board the MV Faina were going to Sudan and that the shipment indicated an arms race between North and South Sudan had begun.
They are reported to both be building up their forces ahead of a referendum on independence for the South in 2011.
"If these reports are true, they could change the regional military balance," he told the BBC.
"Kenya could be seen as playing the same role as Cuba did during the Angolan civil war - when they armed the MPLA."
The experts said the tanks would most likely be dug in along Sudan's north-south border, with the tanks using their guns to protect military installations.
BBC NEWS | Africa | Hijacked tanks 'for South Sudan'
Titchaz,
Shukran kwa udadidisi wako. Hatimaye yale tuliyokuwa tuna-mashaka nayo yamekuwa kweli. Kenya kama kawaida hawaachi kuwa on the wrong side of what the African continent is aspiring for, i.e. peace and stability. I wonder if arming SPLM will bring peace or further the tention with the north after the referandum.
Kenya wanakubali kuwa ni zao na wewe unasema kuwa si zao! sasa mkweli ni nani?
Titchaz,
Shukran kwa udadidisi wako. Hatimaye yale tuliyokuwa tuna-mashaka nayo yamekuwa kweli. Kenya kama kawaida hawaachi kuwa on the wrong side of what the African continent is aspiring for, i.e. peace and stability. I wonder if arming SPLM will bring peace or further the tention with the north after the referandum.
Kubwajinga,
the biggest blunder in Kenya's politics lies with Kibaki stealing the elections
in 2012.Huyu bwana kwa sasa analeta tension kubwa kati ya the Govt in Khartoum
na SPLA.Kisha kumbuka during President Moi's time, the man really
promoted peace and stability in that region.Hata UN walikua wanamtambua.
Enter Kibaki, Kenya becomes bedmates with the Libyans who have questionable
dealings.Kisha kuna uhusiano na wa-China ambao its making the
Americans hot under the collar.Sasa hii arms trafficking na Sudan is really ugly
depending on what side you are standing.Kuna artricle nyengine ya arms trafficking
ambayo its indicting the authorities in Kenya.I will later merge it with this one.
Bottomline:Kibaki's govt is not doing us justice as East Africans.
Shukran.
I hope religion has nothing to do with it, God forbid! South si ni mostly Christ's followers?