mtazamaji,Kuna developer yeyote wa(Sofware/program) Tanzania au hata east africa kazi yake imeathirika na sababu kubwa ikawa ni piracy?
Muziki kweli wanaumia na sababu sababu muziki ni entertainment na soko la muziki linategema zaidi uaminifu wa mtu mmoja mmoja.
Kwenye software kama mtu anategeneza software analenga mtu mmja mmoja then huyo anakuwa anchimbia kaburi kwanza kwa washindani na pili kwa piracy.
@HT(Nimeona article yako moja juzi juzi ) na wazoefu wengine
Napenda kujua kama kuna sofware ya tanzania au ya mtanzania au ya kampuni ya kitanzania imeshindwa kufankiiwa na sababu kuwa ikawa ni PIracy?