Pipoz pawa chadema juu arumeru

Mawwassa

Member
Nov 13, 2011
12
0
Ungekuwepo uone namna chadema inavyokubalika kwa sasas!...mzee fisadi alikuwa na wa2 wachache na hoja za kijinga eti siasa za kuchafuana?....kama unaiba maliza wa tz tusiseme?....mzee wa kutabadam eti anaongea na wazee wa da es salaam?....unaongea na wajinga wenzio then wazee wa dsm pumbaf!...tena mkapa na kijana wako sio rizki huyo ala!
 
Source na data ni muhimu next time ili ujenge hoja nzuri,
 
Akili za gongo, ulanzi na kimpumu ukachanganya na zakwako ndiyo ukatoa hii kitu.
 
Source na data ni muhimu next time ili ujenge hoja nzuri,

Unataka source ya nini?
Ye kasema hiviii
1) kikwete kaongea na wazee kuhusu swala lisilowahusu wazee- kwamba wazee wa dar ni vilaza, kwamba ukiongea na kilaza na wewe unakuwa mwenzao tu
2) kwamba Mkapa alikwiba mali za uma, hivyo Mkapa ni
3) kwamba Sioi si rizki kwamba Ametoga sikio

Mbona mnakuwa wahuni kuelewa vijana!!
 
sasa ndiyo unajifunza key za laptop yako siyo? fikiria kabla ya kuandika ni kitu gani wataka kueleza na jinsi gani jamii itapokea baada ya kueleza..

Wacha we
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom