Pinda yupo wapi jamani?

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Mwenzenu najitahidi kuelewa lakini sipati lolote ninalollifahamu kuhusu huyu mzee. kama mtendaji wa serikali nilitegemea kumsikia kila siku au pengine kila baada ya siku moja. lakini cha ajabu linapita Juma zima kimya. sisi ambayo tupo karibu na jimbo lake hatuna lolote tulinalolifahamu kuhusu yeye. Mwenye taarifa kuhusu huyu Mzee Nyooka anijuze Pleaseeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Anasimamia ujenzi wa uwanja wa ndege kwao ili wale wawekezaji - Agrisol waweze kutua! Nadhani yuko likizo ya mwaka maana niliona picha kwenye blog ya michuzi akiwa na wajukuu. very nice!
 
Bado anakula zile 280000/ za jairo na zingine zilizopotea njia....doa hili hupaswi kuwa rais watanzania maisha yako yote
 
Mara ya mwisho ni limwona kwenye blog moja amepigwa picha huku amezungukwa na wajukuu kibao akiwa likizo. Niajabu wakati maghufuli alikatisha likizo kuja kushughulikia mafuliko, mtendaji mkuu wa serikali yeye anakula bata mh! makubwa.
 
this guy is being prepared to be the next president! i think he can do better than the rest!
 
Kama kwenu humuoni,basi kamuulizie Chanika. Ni Dar,wilaya ya Ilala. Ni kwake pia. Ukimkosa,ulizia wapi majembe yameadimika-adimika,basi hapo utamkuta.
 
this guy is being prepared to be the next president! i think he can do better than the rest!


Pinda hawezi kuwa Rais ajae, kama akiwa waziri mkuu tu amewapa wazungu karibu hekta laki mbili huku Mpanda, je akiwa rais si hata sisi tutawekezwa? Hafai hata kidogo.
 
this guy is being prepared to be the next president! i think he can do better than the rest!

president wa mpanda au? si kutwa atakuwa analia lia tu ikulu huyu..aende zake bana
 
Back
Top Bottom