pinda unapoteza muda

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Mh pm anataja majina ya wachangiaji wa ofisi yake kwa urefu kwanza anataja majina matatu alafu mtu alipotpka hii inasaidia nini? Je sio mipango maalumu ya kupoteza muda? Toa maoni hapa.........sily season
 
Back
Top Bottom