Nyerererist
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 438
- 5
atakufa na pressure leo jioni atakapokaa kuangalia threads zinazo mhusu
....... ya wafisadi wote akiwemo fisadi Mkapa na kama wakionekana wana hatia basi wafilisiwe. Hili likifanyika litarudisha credibility ya serikali kwa wananchi kwa kiasi kikubwa sana.
Zanzibar ilichukuliwa kwa mapinduzi na haiwezi kabidhiwa kwa wapemba kwa makubaliano ya mezani,kama wana ubavu na basi wapindue na wao...mpemba kamwe hatotawala zanzibar wala tanzania.tunakiukum chama kwa kushindwa kufanya maauzi kule butiama maamuzi ambayo watu waliyataraja na vilevile walitka yafanyike,,ila kwa kua ni wabinafs wakasindwa kuanya hivyo, so tunawahukum wao na hilo chama lao
Zanzibar ilichukuliwa kwa mapinduzi na haiwezi kabidhiwa kwa wapemba kwa makubaliano ya mezani,kama wana ubavu na basi wapindue na wao...mpemba kamwe hatotawala zanzibar wala tanzania.
Mkuu wangu. Inabidi hii kauli uinyumbulishe, mimi nikiwa ni mtu wa bara, mpemba kwangu hana tofauti na mguja, na wala hana tofauti na mmakonde wala mgogo, ni mtanzania kama wengine. Siamini kama wapemba hawana uwezo wa kuongoza, sioni kama wanatofauti yoyote ya uwezo wa kuelewa na watanzania wengine, kimsingi kauli yako siwezi kuikubali.
Unadhani mguja gani anayeweza kujisifu kuwa ametawala vizuri kisiwani kuliko mwingine? Kuna maajabu mengi yametokea Zanzibar mpaka mishahara ya wafanyakazi wa SMZ ilikuwa inalipwa kutokana na mikopo ya wafanyabiashara, tena wapemba ndio waliokuwa wanaikopesha serikali sasa leo wasiwe na uwezo.
Labda na wewe uwe umeingia kwen ye siasa za Salmini, za kupiga politikikutojali hali halisi!
yah thats true,,,adhabu wanayostahili ni kufilisiwa na warudishe mali za umma,,,sie wala hatutaki wafungwe ila tunataka iwe fundisho kwa wote na kizazi kijacho kwamba mali ya umma ni ya umma na sio ya kuchota kama walivyofanya kinamkapa na masela wake bila hata aibu
Kama kweli ana nia ya kurudisha imani kwa Watanzania, basi cha kufanya ni kuiacha sheria ichukue mkondo wake dhidi ya wafisadi wote akiwemo fisadi Mkapa na kama wakionekana wana hatia basi wafilisiwe. Hili likifanyika litarudisha credibility ya serikali kwa wananchi kwa kiasi kikubwa sana.
........
Waziri Mkuu alizindua tawi la CCM la Chuo Kikuu cha Tumaini katika shughuli iliyopangwa kutekelezwa muda mfupi kabla ya kurejea Dar es Salaam kutoka Iringa ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Mei Mosi kitaifa juzi kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete.....
SOURCE: Nipashe [/size][/color]
Zanzibar ilichukuliwa kwa mapinduzi na haiwezi kabidhiwa kwa wapemba kwa makubaliano ya mezani,kama wana ubavu na basi wapindue na wao...mpemba kamwe hatotawala zanzibar wala tanzania.
Kwikwiwkwiiiii....na wewe watu wanaweza kudai unajifanya unajua kila kitu na unajifanya umesoma sana na unadharau wenzio na kujiona kwamba wewe ndio wewe na kama unaweza kwa nini usiende ukazifanye hizo kazi wazifanyazo wao kama unaona wanachemsha....
Watu wanaweza kudai una insecurity flani flani hivi zinazokufanya u-behave jinsi unavyo behave. Wanaweza wakadai kila mtu anaweza kuwa mwanasaikolojia na kukugeuzia kibao na kuanza kuichambua nafsi yako.....
Watu wanaweza kudai una insecurity flani flani hivi zinazokufanya u-behave jinsi unavyo behave
Wanaweza wakadai kila mtu anaweza kuwa mwanasaikolojia na kukugeuzia kibao na kuanza kuichambua nafsi yako...
Nyani,
Nakuelewa.
Na wewe mimi naweza kusema unakuwa kama waandishi wa tabloids za bongo, wakitaka kusema kitu wao wanasema "watu wanasema" au "wachunguzi wa mambo wanasema" au "watu wanaweza kusema" watu gani hao waliokuchagua uwe msemaji wao?
Kama mimi ninajifanya najua kila kitu na wewe unaona si hivyo, uwanja mpana huu,ndiyo mana ya forum, unakaribishwa tuende toe to toe.Hapo utanionyesha mimi na ulimwengu unachofikiri.By the way sifikiri kwamba ninajua kila kitu, ila nina confidence yangu kwa vitu ninavyovijua.Kwa hiyo kama unaweza kuniconvine otherwise nitakushukuru kwa sababu that will have the distinction of being educational.
Sasa kati ya mtu anayekata issue kwa confidence na ku invite scrutiny na mtu anayekuja ku whine bila hata kutoa positions zake nani ana insecurity? Mimi naweza kusema Nyani ana insecurity, hataki watu waandike kitu kisicho na urahisi wa one liners za "Waafrika ndivyo tulivyo" na akiona mtu anaandika kitu kirefu tu, regardless ya content anaanza kujishtukia with a lot of insecurities, na anaanza kuzi project hizo insecurities zake kwa wenzake.Kuna mtu aliongelea the psychological concept of projection hapa.Kama yule Mzee Seneta Larry Craig aliyebambwa chooni aki solicit gay sex, Mzee alikuwa mnoko sana kwa ma gay kumbe na yeye gay, alikuwa ana project u gay wake kwa kuwashambulia wenzake kwamba wako gay, an abomination to him.
Vipi Mkuu, una project insecurities zako kwangu, Larry Craig style?
With all your talk of insecurities naona wewe ndiye unataka kugeuka mwanasaikolojia kunichambua halafu kama mwandishi wa tabloids unataka kuwasingizia "watu"
Kina nani hao watu, wataje basi!
Ila Pundit mimi unanionea bana....
Nyani,
Nitakuoneaje wakati mimi najibu hoja zako ulizotoa tu?
Nisingekujibu ungesema Pundit snob, au?
Wewe umelianzisha, mimi nilichokifanya ni kujibu hoja zako tu, sasa uonevu umetoka wapi hapo?
Tuendelee kukata issue.