PINDA - Nitatoa Maamuzi yote Jumatatu

Kwani huyo rais anayengojwa yupo hospitali?

Kazi tuliompa anaiacha anaenda kuangalia nyanya brazil??

Si angeenda Ilula angeziona tena na wananchi waliochoka!

Ananitia hasira huyu mtu huyu!!
Watanzania tumezidi upole!

we umewasahau hawa viumbe?HUMKUMBUK MZE WA MVUA ZA THAILAND?
 
Sijawahi kuona Waziri Mkuu bogus kama Pinda katika historia ya nchi hii
 
Kama ulikuwa humjui Pinda basi labda leo ndo utapata mwanga. Mizengwe! Pita halafu pinda uende zako, wengine watajiju.
 
Huyu Sinbad naye anapanda ndege kwenda kukagua kilimo cha nyanya Brazil
 
Kwa jinsi Mawaziri walivyokuwa wakifatilia mijadala na hoja za wabunge kwa umakini, walivyokuwa wakijibu hoja zile inanishawishi kuamini kuwa tumepigwa changa la macho! Hakuna jipya!
 
Jamani kila kitu kina taratibu zake jumatatu PM anafunga bunge anataka anataka alitolee maelezo ya kutosha suala hili na uamuzi uliopatikana baadaya tuhuma zote si suala la haraka kihivyo wewe jua tu hawa mawaziri watuumiwa hawako tena kwenye nyadhifa zao tamko la serikali litatoka jumatatu nashindwa kuelewa mnaharakisha nini...!
 
popompo wewe, ushahambiwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.
Kudadadeki nakunongoneza sasa waziri mkuu ni mheshimiwa shukuru kawambwa kwa kuwa anauzowefu wa kushika wizara nyingi mpaka sasa.

Ninyi mnaota hamumjui baba Mwanaasha. Kama kawa Alhamisi siku ya muungano atajibu hoja zote na hakuna waziri atakayejiuzuru wala PM hapo.
 
Hivi hawa Mawaziri wakikatalia ofisini nasi wananchi tukawaambia hatuko tayari kulipa kodi ambazo tunaamini wanazitumia vibaya kwa maslahi yao Kikwete atashindwa kuwafukuza?.
 
Pinda akijadiliana na wabunge wa upinzani wanaotaka kumwondoa madarakani Dodoma leo.

IMG_9138.JPG
 
hahahahahahhahhh ku***********chi asijijitie wala kijifananisha kuwa ni mtetea haki za binadamu au wana wa nchi hii... ajue kitanzi kinamsibiri na hakichakai kamwe
 
Tusubiri jumatatu,hata ugekuwawewe usingeliweza kutoa tamko kwa jambo kubwa kama hili wakati mwenye nyumba hayupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom