Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,495
- 17,366
PM wa sasa kweli tunae lakini ukute JK anavyowapelekesha vikaoni inawafanya wawe waoga maana hawajui bwana mkubwa ata react vipi,JK mjanja sana hata ukiwa right anakugeuzia kibao anaingiza chama!ukipotoka anakuwasha kuwa kwa nini hujui wajibu wako!!anawavuruga sana watendaji wake!wanabakia hawana maamuzi!!!