Pinda na mradi wa zima moto za bajaj....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,427
911,172
04_11_bcuf58.jpg
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua Bajaj ambayo imetengenezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonesho yaliyoandaliwa na Kampuni ya Spray and Fumigation Services Limited, bungeni Dodoma Alhamisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 
Is this government serious...................................kweli ni moto upi bajaj itauzima??????????????????????????????
 
sasa mbwahi mbwahi wakuu lazima tuongee kwa vitendo wanatutania,
Conquest-hapo hapo nagonga maini:help:
 
hatuna serikali....

nyerere aliwahi kusema...serikali corrupt yo yote ile hushughulika na vitu vidogo vidogo tu, kama kukimbizana na wamachinga badala ya kukimbizana na wakwepa kodi, badala ya kuboresha miundo mbinu ya miji yetu na kununua vitendea kazi bora, PM mzima anadeal na bajaji!!!!
 
Utingo uko sahihi kabisa watafanya lipi kubwa?
 
Is this government serious...................................kweli ni moto upi bajaj itauzima??????????????????????????????

yaani hawa na rais wao ni ma comedians ...si kuna siku JK alisema atanunua bajaj 400 kwa ajili ya kuwawahisha akina mama wajawazito hospital wakiwa wanataka kujifungua...
 
magari tu hufika kwenye tukio bila ya maji licha ya kuwa na mapipa ya kuhifadhia maji makubwa, bajaj itaweka wapi maji na kubeba wazima moto? Kweli kazi tunayo. mara mvua ya thailand, mara power tiller, mara bajaj kwa mama wazazi, na sasa bajaj kuzima moto!! na kupeleka watoto wa shule za msingi kwenye mkutano wa katiba saa 11 alfajiri kuwazomea watakao mkuja saa 3!! nadhani saa sasa imewadia.

macinkus
 
Another daylight robbery...moto ambao unaweza kuzimwa na bajaji hauwezi kuwashinda wananchi.
Mzee Mwinyi hakukosea aliposema Tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunza kunyoa..
 
Yaani mpaka niite bajaji ina huo moto utakuwa umenishinda kweli? Maana moto huo hata nikiumwagia haja ndogo yangu utazima,wabongo bado tuna safari ndefu...
 
04_11_bcuf58.jpg
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua Bajaj ambayo imetengenezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonesho yaliyoandaliwa na Kampuni ya Spray and Fumigation Services Limited, bungeni Dodoma Alhamisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
hapa ndipo nionapo viongoz wetu hawapo serious na mambo serious-kweli utatumia bajaji as fire fighter truck?au as gar la wagonjwa?
mi naona wanafanya utani kwenye mambo amnbayo hayahitaji utani-MI NAONA HIZI BAJAJI NI HAWA WAHINDI WANAFANYA BIASHARA TU YA BAJAJI ZAO-
 
Hawa watu ni wa kutandika viboko. Hivi kweli bajaji zimamoto zinaweza kumudu uzimaji moto mkubwa? Assume moto umetokea ghorofa ya sita kwenye jengo fulani. Kisha unapeleka bajaji pale, sina hakika katika hayo matenki ya maji yana ujazo kiasi gani kuweza kuzima mto mkubwa.

Can't we be serious for 1 minute?
 
Akili za Pinda na punda ngoma droo

Kiranja mkuu, unastuka leo? kiongozi anayeona fahari umaskini wakati Nyerere alishasema kuwa umaskini ni adui mkubwa wa maendeleo, kisha tunategemea atufikishe wapi? ndiyo hayo mara ooh, watu wasivae suti ...
 
Yaani mpaka niite bajaji ina huo moto utakuwa umenishinda kweli? Maana moto huo hata nikiumwagia haja ndogo yangu utazima,wabongo bado tuna safari ndefu...

Kwenye majengo kunatakiwa kuwepo na Fire Extinguishers, kwa ajili ya dharura kabla gari la zimamoto halijafika, kwa vile hatuweki mkazo kwenye hili ndo maana wajasiriamali wanakuja na bajaj kwa vile wanajua kuwa wakiweka mezani pendekezo kama hilo hawakataliwi maana ni sehemu ya kufidia ufadhili wanaoufanya kwa chama.
 
Hawa watu ni wa kutandika viboko. Hivi kweli bajaji zimamoto zinaweza kumudu uzimaji moto mkubwa? Assume moto umetokea ghorofa ya sita kwenye jengo fulani. Kisha unapeleka bajaji pale, sina hakika katika hayo matenki ya maji yana ujazo kiasi gani kuweza kuzima mto mkubwa.

Can't we be serious for 1 minute?

Mkuu acha ghorofa ya sita,nyumba ya kwaida tu hako katenki kanabeba lita ngapi kuweza kuuzima moto kwenye nyumba ya aina hiyo..,majibu mepesi kwa maswali magumu..
 
Is this "Made in Tanzania"? I wish he officiating production of these by Tanzanians. We have engineers, but where is environment for applying our creativity?
Poor leadership -> Poor education -> Little creativity ->dependency on foreign -> More problems! Isn't it
 
watapigwa na wananchi yani Nyumba yamtu inaungua wewe na kibajaji lazima wakupe makofi!!wataona unawatania!!
 
Is this government serious...................................kweli ni moto upi bajaj itauzima??????????????????????????????

Hawa jamaa, jk, pinda na wengineo kwenye serikali yao ya vichekesho yaani pale unapofikiri wamemaliza kutuchekesha ndio wanaibuka na nyingine kali zaidi ya kuzivunjilia mbali mbavu zetu. Juzi walipokuja na bajaj ambulance mimi nikajua wamemaliza hawatatutania tena watafanya kazi sasa. To my surprise in less than a month time wameibuka na hii kali nyingine zaidi- bajaji zimamoto.

Mimi nilikuwa ninaombi tunaopost if possible vingine kama hivi tusiwe tunapost maana internet haina siri so dunia nzima wanatuchora na kutuona wote hamnazo. Maana premier mzima wa nchi maskini kama hii kutumia muda wake wa thamani kwenye jambo kama hili badala ya kudeal na issues serious ni udhalilishaji wa kiwango cha juu kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom