Pinda na Mawaziri wanaonewa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
Kuna kigogo anayehusika na kuyumbisha nchi, hawa ni matawi tu. Sitegemei katika familia mtoto afanye kitu kinyume cha matakwa ya mkuu wa kaya. Yaliyompata Edward Lowasa ndiyo yanayowapata hawa sasa hivi. Kama Lowasa aliharibu nchi, je baada ya kuachia ngazi nini kinaendelea? Mbona mbaya zaidi kuliko wakati wa Lowasa katika ufujaji wa mali ya umma na usimamizi duni kabisa katika shughuli za serikali na mali ya umma?
 
haswa. Wabunge wanatuchanganya tu. Tatizo ni Rais na chama chake. Jairo ya Rais, epa ni Rais, richmond ni Rais, s. Packages ni Rais, umaskini ni Rais.kuteua ni rais. Pinda ni bangusiro nyingine.
 
hivi mpaka wananchi wa kawaida wanaperfomance indicators za mawaziri na Kikwete hana? Kikwete atoswe hajui majukumu yake.
 
Waondokee.... kwani nini kinawazuia.... wengi ni wezi na si watendaji.....
 
hivi mpaka wananchi wa kawaida wanaperfomance indicators za mawaziri na Kikwete hana? Kikwete atoswe hajui majukumu yake.

Tatizo hapa nani atamfunga paka kengele. Kikwete anajivunia kuwakumbatia maafande wengi katika utawala wake, kwa kuwapa ulaji amejihakikishia kushika dola na kulindwa. Yule kigogo mnadhimu wa wa Jeshi aliyeshikwa na matiririoni ya pesa Afrika kusini yameishia wapi?
 
haswa. Wabunge wanatuchanganya tu. Tatizo ni Rais na chama chake. Jairo ya Rais, epa ni Rais, richmond ni Rais, s. Packages ni Rais, umaskini ni Rais.kuteua ni rais. Pinda ni bangusiro nyingine.

Kikwete anawaogopa pia hawa aliowapromote kwenye madaraka, kwani wanajua sana madudu mengi anayofanya. Akifanya makosa wataanika, ndo maana yuko radhi wabaki na ajira huku madudu hayo yakiendelea.
 
I don't know about kuonewa, usipofanya kazi inavyotakiwa unatolewa.

Ila pia, the elephant in the room few are mentioning is called Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Kweli kabisa.
Kama lowasa alikua ni tatizo basi pale alipo achia ngazi
matatizo yasinge ongezeka zaidi kama yalivo hivi sasa.

Wengi watajiuzuru lakini matatizo yaliyoanzia 2005 hayaishi, na kila kukicha hakuna unafuu. Bora kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu ibadilike kutokuwa na Serikali kwa ujumla. Vinginevyo nchi hii inazidi kuuzwa kwa wageni, na mkuu amekazana kutalii kuuza nchi bila huruma. Afadhali wangetufuata, lakini tunawafuata. Hapo ndo tatizo.
 
Wafanye kama Ghana walivyofanya, tatizo ni kizazi hicho na kwa bahati mbaya ndo kizazi kinajojiita kilipata elimu bora kabisa.
 
We kama unaonewa siunaondoka bwana unapong'ang'ania ni kwamba kuna maslahi hapo tusidanganyane bwana.Hakuna anayeonewa tena hawa wanatakiwa kunyongwa kabisa
 
Kuna kigogo anayehusika na kuyumbisha nchi, hawa ni matawi tu. Sitegemei katika familia mtoto afanye kitu kinyume cha matakwa ya mkuu wa kaya. Yaliyompata Edward Lowasa ndiyo yanayowapata hawa sasa hivi. Kama Lowasa aliharibu nchi, je baada ya kuachia ngazi nini kinaendelea? Mbona mbaya zaidi kuliko wakati wa Lowasa katika ufujaji wa mali ya umma na usimamizi duni kabisa katika shughuli za serikali na mali ya umma?

Kheri ale m2 mmoja kuliko kuachia kila tomy and gerry.....
 
Ziara ya Mkulu huko Brazil imetifua nyongo za Watanzania, angekuwa msikivu kusitisha utalii huenda ghadhabu isingepaa kiasi hiki cha wabunge wa CCM kuasi.
 
Kuna Petrol imeptikana Tanzania, na Raisi wetu lazima atie sahini na hao watakaokuja kiuchimba nao ni BRAZIL PETROL, kwa hiyo lazima kieleweke kabla hajaachia ngazi, MSHIKO JAMANI...

Muhimu kwake kuandaa mshiko wa petrol kabla hajatoka 2015..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom