Elections 2010 Pinda na Dr. Slaa wanapogonga kwa furaha

Jamani mimi naomba niwatoe hofu kuhusu kimya cha Dr. Slaa.

Kwanza Dr.Slaa ni mtu wa Takwimu na Documents halali kwa hiyo amejichimbia kukusanya document za wizi wa kura na kuhakikisha sheria inafuatwa.

Halafu alishasema hapendi kwenda ikulu huku damu ya mtanzania inamwagika kwa hiyo anaangalia upepo ili kuona kwamba anachokifanya ni sahhi mbele ya sheria.

Lengo ni kuwaeleza watanzania wanaelewa uchakachuaji uliofanywa ili next time walinde kura zao.

Kwa hiyo kimya cha Dr. Slaa hakina maana nyingine kwa sababu chadema itaingia ikulu kwa nguvu za kulinda kura kama ilivyo Ubungo, Karatu, Mbeya, Shinyanga, Mpanda mjini, Musoma Mjini, Mwanza, Arusha, Kawe, Rombo, Iringa, Mbulu.

Najua CCM nao wataesema watalinda kura 2015, Nasi tutakuja na mbinu nyingine.

Peoples Power
 
Jamani mimi naomba niwatoe hofu kuhusu kimya cha Dr. Slaa.

Kwanza Dr.Slaa ni mtu wa Takwimu na Documents halali kwa hiyo amejichimbia kukusanya document za wizi wa kura na kuhakikisha sheria inafuatwa.

Halafu alishasema hapendi kwenda ikulu huku damu ya mtanzania inamwagika kwa hiyo anaangalia upepo ili kuona kwamba anachokifanya ni sahhi mbele ya sheria.

Lengo ni kuwaeleza watanzania wanaelewa uchakachuaji uliofanywa ili next time walinde kura zao.

Kwa hiyo kimya cha Dr. Slaa hakina maana nyingine kwa sababu chadema itaingia ikulu kwa nguvu za kulinda kura kama ilivyo Ubungo, Karatu, Mbeya, Shinyanga, Mpanda mjini, Musoma Mjini, Mwanza, Arusha, Kawe, Rombo, Iringa, Mbulu.

Najua CCM nao wataesema watalinda kura 2015, Nasi tutakuja na mbinu nyingine.

Peoples Power

NASISITIZA KIMYA KIMESHATOSHA, TUNATAKA TAMKO LA CHAMA. PERIOD. MBONA MPENDAZOE AMEVUNJA UKIMYA? CHAKULA KIKIWA BADO CHA MOTO NDIO KITAMU, HILO TAMKO LIKISHACHELEWA HALITAKUWA NA MAANA YOYOTE, WALA HALITAPOKEWA KWA MSISIMKO WOWOTE NA WANANCHI. HII KWANGU BINAFSI NI KERO:A S angry:
 
Ndugu zangu siasa si uadui, siasa ni sera, tusimuhukumu kwa kucheka na mtu. Hawezi kununa kwa kila mtu kwani hata kiafya siyo nzuri, vita yake na serikali tunajua hiko palepale.
 
NASISITIZA KIMYA KIMESHATOSHA, TUNATAKA TAMKO LA CHAMA. PERIOD. MBONA MPENDAZOE AMEVUNJA UKIMYA? CHAKULA KIKIWA BADO CHA MOTO NDIO KITAMU, HILO TAMKO LIKISHACHELEWA HALITAKUWA NA MAANA YOYOTE, WALA HALITAPOKEWA KWA MSISIMKO WOWOTE NA WANANCHI. HII KWANGU BINAFSI NI KERO
A%20S%20angry.gif

watch the knews from now,tamko limetolewa
 
hiyo inaitwa Keep your enemies Closer.....

PINDA hapo anamwambia mwenzangu sijui kama mimi nami nitakaa kwenye Benchi langu maana nasikia kuna mtu aligharimia Mabango yote ya Mzeee
anampa I wish ungekuwa Rais kwakweli sisi watoto wa wakulima tungeweza kujipatia angalao vijicheo.......
au Silaa anamwambia Mzee sidhani kama utarudi kwa kiti chako lol
:smile:
 
Sio kakusaliti ila mwanaarakati yeyote atakae maendeleo lazma ashirikiane na kila mtu... ndio mana ata usalama wa taifa wakakubali slaa ni mkali kuliko bosi wao JK na Mizengo
 
yani kwa SIASA za mzee wa visasi HAPO Pinda anaweza kuukosa uwaziri kwa kosa la Kugonga na SILAA:doh:
 
MKUU MIMI NAKUUNGA MKONO KAMA SIO MIGUU YOTE MIWILI, NINA UHAKIKA DR SLAA NI MZALENDO WA KWELI, HAWEZI KUTUSALITI WATANZANIA, ILA HICHI KIMYA HATA MIMI, KINANITIA MASHAKA, SISI WENGINE HUKU MTAANI WATU BADO WAMETUNUNIA, SASA WAO WANAKWENDA KUCHEKA NA HAWA MAFEDHULI! BASI TUNAOMBA KUSIKIA TAMKO LA CHADEMA ILI MIOYO YETU ITULIE. KWA KWELI HAFADHALI MPENDAZOE NIMEMUELEWA, AMEFANYA KILE WANANCHI WANAKITALAJIA, SASA KWA NINI CHAMA MAKINI KAMA CHADEMA HAKIJATOA TAMKO LAKE KAMA CHAMA? DEMOKRASIA YA KWELI NI PAMOJA NA KUHOJI NA KUDADISI, HAPA NAOMBA MAELEZO KUTOKA CHADEMA:A S angry:

Unataka TAMKO gani zaidi ya kusema uchaguzi kura zilichakachuliwa. Alishasema wa kumwaga DAMU ni wale wenye DOLA usimtie matatani mzee wa watu. Mmeshindwa kumuunga mkono ili apata kura nyingi na hamkufanya hivyo na bado mnashinikiza TAMKO. TO Hell.
 
Mi naona inapendeza, si jambo la kiungwana Slaa kumnunia Pinda au Kikwete eti kwa sababu ya uchaguzi, hata akinuna matokeo hayatabadilika kitu cha msingi ni kufanya mikakati yenye akili ili 2015 tudhiti uwizi wa kura.
 
Hilo lililosemwa lazima lilikuwa la kufurahisha kwani hata hao wandugu wengine nao wanaonekana kufurahishwa mno...!

bado mapambano yanaendelea na haimaanishi Slaa kuwa na uso wa huzuni ili kuthibitisha hilo, this shows how matured, free and content he is! Bravo kamanda slaa...
 
Jamani sio kila siku ila wakati wa kampeni usikute anampongeza kwa kumwambia hongera bwana umeukwaa tena UPM
 
Kukaa kimya ni hekima kubwa.....na hili president wangu Dr Slaa analijua sana. Si mtu wa kukurupuka, so vuteni subira.
Najua siku akija kuibuka ni "kitu na box".
 
unataka tamko gani zaidi ya kusema uchaguzi kura zilichakachuliwa. Alishasema wa kumwaga damu ni wale wenye dola usimtie matatani mzee wa watu. Mmeshindwa kumuunga mkono ili apata kura nyingi na hamkufanya hivyo na bado mnashinikiza tamko. To hell.

mimi naamini kuhoji ni sehemu ya demokrasia, sasa wewe unaejiona unajuwa kila kitu hongera sana. Ila kumbuka usifiche hekima yako ficha upumbavu wako. Unaposema to hell una maana gani?
 
siasa si vita mkuu ni utofauti wa fikra sera na kutofautiana ki itikadi na si kununiana kamanda. pale mnagonga halafu unampa kubwa nyie wezi kweli mmeiba pale segerea kule kilombero sumbawanga mjini lkn kwako mpanda umeshindwa kuiba ilikuwaje mkuu? ndo unaona pinda anafuraaaaaahi
 
Dr. Slaa alibainisha kwamba kwake siasa siyo uadui bali ni ushindanishaji wa sera na hoja. Na huo ndiyo ukomavu wa kisiasa. Ndiyo maana Dr. alisema waziwazi kwamba hatakuwa tayari wananchi wapate vilema na ngeu kwa sababu ya yeye kuingia ikulu. Ndiyo maana nasema 'Rais wangu ni Dr. Slaa tu'.
 
Uchaguzi haikuwa vita ni sehemu ya demokrasia, kama kuna mapungufu yalijitokeza basi ni kujipanga upya kuhakikisha hayajitokezi tena 2015. kwa sasa our focus must be katika maslahi ya taifa zaidi
 
Back
Top Bottom