Pinda: Mawaziri kutangaza upendeleo wa ki-itikadi ni 'unfortunate'!

Huyu pinda ni mnafiki sana

Jina lake ni mizengo Kayanza Pinda! ana uniform za kikomunisti bado mpaka leo! waziri mkuu wa china mwaka 1967 Chuo En Lai alikataa kuvaa nguo za suti za west na kabuni nguo za kiana yake ambazo karibia viongozi wengi wa kitanzania wanazo. basi mimi nikiwaona nazo ktk picha magazetini nasikitika sana .
 
Na hili la kuchanganya kiingereza kwenye kiswahili wanafikiri kwamba wataremba majibu yao ili wawashawishi wananchi. Huwezi kusema it is unfortunate kana kwamba waliotamka hayo maneno walikuwa wamelewa au wamerukwa na akili. Mawaziri wakisema maana yake ni serikali imesema, hivi hawa mawaziri wanapotoa statements za kibaguzi namna hii zinazopingana na sera za serikali waziwazi kama PM alivyothibitisha mwenyewe wanastahili kutetewa na PM au kuwajibishwa mara moja?
 
Back
Top Bottom