Pinda kalonga!

Pinda hana jipya kabisa...mimi namuonea huruma tu..aliyoyasema angetakiwa kuyasema hata mwema tu...Pinda angekanusha kuwa ofice yake inaendeshwakwa remote naEL....maana hajui analofanya...
 
Vipi kuhusu kura ya siri inayopigwa na wananchi kuhusiana na mauaji ya kupanga (Maalbino na vizere),imeshaleta matunda yeyote au ndio kura hazijahesabiwa.
 
Pinda hana jipya kabisa...mimi namuonea huruma tu..aliyoyasema angetakiwa kuyasema hata mwema tu...Pinda angekanusha kuwa ofice yake inaendeshwakwa remote naEL....maana hajui analofanya...
 
...Kitu kinavunja sheria lakini bado kinaendelea kuchunguzwa bila angalau kukisimamisha kwanza hadi uchunguzi ukamilike??? Only in Poor Tanzania.
 
Huyu Pinda si ndio mtu alieonekana ni mtu mchamungu, msema ukweli, mpenda maendeleo ya wananchi na mchukia fisadi hivyo kaja kuwashughurikia waovu CCM sasa mbona miyeyusho nae
 
DECI kama Rostam Aziz haishikiki japo inaonaekana ni halifu. Makubwa haya...

Jinsi serikali inavyovuta miguu kuifunga hii DECI, nadhani viongozi wakuu wamepanda kitu huko na sasa bado wanatafakari jinsi ya kuchukua chao mapema ndiyo walalahoi walizwe. Nilitegemea kusikia kuwa kuanzia kesho kazi za DECI zinasimamishwa na viongozi wake wote wanatiwa ndani wakati serikali inaangalia njia za kuwalipa wanachama pesa zao bila kulet amadhara makubwa. Hata hivyo naogopa kuwa serikali inaweza kujiingiza kichwa kichwa na kulipa wateja ili kujipendekeza kwa ajili ya kura!
 
Chonde chonde jamani, hawa viongozi wetu wana HEKIMA NA BUSARA pia, unafikiri wakikurupuka na kuifungia DECI mkombozi wa wanyonge, DECI iliyoletwa na Mungu bila kujua hatima ya vijesenti VYETU watakuwa wamebomoa au wamejenga, tupeni muda sisi viongozi wenu tuna intelligence ya kutosha tumeishaijua DECI kuliko mnavyofikiri.

HATA HIVYO KUANZIA LEO WAMESITISHA HUDUMA ZAO.
 
Back
Top Bottom