Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
huu ujasiri wa namna hiyo haufai hata kidogo, kwa mtazamo wangu huo sio ujasiri. acheni kudanganya!
Ni sehemu chache ilikuwa hivyo, nadhani mbeya.walifika kazini wakasaini rejesta ya mahudhurio lakini hawakufanya kazi (so technical) wangejifukuzaje?.
Nakubaliana na wewe mia kwa mia mkuu. Umeitendea haki picha ya Mzee Sokoine...NI juzi tu mh pinda alimkataa Dk. Ulimboka kuwa si daktari, tusome habari hii ya tanzania daima kujikumbusha
Kiongozi wao si daktari
Katika hatua nyingine, Pinda alisema kuwa katika uchunguzi wao walibaini kuwa kiongozi wa mgomo, Dk. Ulimboka alihitimu shahada ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2004 na kupata usajili wa muda No. 2022 wa Baraza la Madaktari mwaka huu na kupangiwa internship Muhimbili.
Alisema kuwa Novemba 2005, aliongoza mgomo wa madaktari nchini na usajili wake ulisitishwa na kushtakiwa mbele ya baraza hilo kwa ukiukaji wa maadili ya taaluma ya madaktari kwa kutishia na kufanya mgomo.
Mwaka 2006 Rais alimsamehe na hivyo kurejeshewa usajili na baraza na kuruhusiwa kuendelea na internship.
"Katika kumpa taarifa za msamaha wa Rais, Wizara ya Afya na Baraza la Madaktari walimtaka Dk. Ulimboka kutojihusisha na migomo au suala lolote kinyume na maadili ya udaktari ambapo Februari 2, 2007 alikiri sharti hilo kwa maandishi.
Hadi sasa hakuna taarifa kama alimaliza internship kwa kuwa hajawasilisha cheti cha kumaliza mazoezi hayo na hatuna taarifa anafanya kazi wapi ila si mtumishi wa serikali na hajasajiliwa kama daktari, alisema Pinda.
MYTAKE
kwa mtazamo wangu pinda ameonyesha ujasiri wa kujidhalilisha sana kama waziri mkuu kutosimamia kauli zake
NAWASILISHA
wote ni vimeo tuPinda kapinda kweli
lakini si anawashauri vp au wanamshauri vibaya..unajua alisahau kama alikuwa anawaamuru watu gani..mwenzie kikwete aliwaonea walimu goigoi wasiojitambua yeye kauingia mkenge ila ni aibu sanaKuna tatizo. labda anasahau haraka alichosema awali. Huyu mtoto wa mkulima alianza vizuri sana lakini sasa mh!
Mgaya kawahi kufanya nini zaidi ya kuongea kwenye TV.Ampe ulimboka u_naibu waziri wa afya ili wamnyamazishe kama mgaya
lakini si anawashauri vp au wanamshauri vibaya..unajua alisahau kama alikuwa anawaamuru watu gani..mwenzie kikwete aliwaonea walimu goigoi wasiojitambua yeye kauingia mkenge ila ni aibu sana
Alipokutana nao maneno yake yalikuwa hiviAh! jamani huyu waziri mkuu vipi mbona kigeugeu sana? nakumbuka aliwachimba mkwara madaktari kwa kuwaambie ambaye hataripoti kazini atakuwa amejifukuzisha kazi, wazee wakaendelea na mgomo kama kawa mbona sasa karudi na kuwalamba miguu chondechonde madaktari wangu niko chini ya miguu yenu nawaomba mrudi kazini, Vipi kama wangegoma tena sijui angeshusha machozi kama kipindi kile kwa wale waliokuwa wakiua albino. I HATE POLITICS!
kama hamsimamii mnachokidai tuwaite nn? Mtu timamu husimamia maamuzi yake mpaka mwisho
kama hamsimamii mnachokidai tuwaite nn? Mtu timamu husimamia maamuzi yake mpaka mwisho