Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 507
Kwani maDR Wanagoma kwa sababu ya mishahara tu?
Kwa wasio werevu wanaona swala la mishahara tu ingawa madaktari wameshaweka wazi malengo kuwa ni kuboresha mazingira ya kazi, kwa kuwa yamekuwa hatarishi kama danguro; waweza pata ukimwi saa yoyote etc.
Mishahara ni kilemba tu na serikali inangangania hapo kwa sababu ni serikali iosiyopenda kuwajibika responsibly kwa wenyenchi. Ajabu sana. Baba anamtenda mwanae namna hii kwenye familia, atakuwa baba mwema kweli??
Sijui ila madai ya madaktari ni ya msingi tena ukizingatia uwezo wao wa kufikiri. Un-questionable.