Pinda hana ubavu wa kukomesha ufisadi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
Vigogo wamiminika kupata dawa Lolindo
wakati watu wakifulika kwa mchungaji Mwasapile(76)
mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) na
Inadaiwa kuwa anatibu magonjwa sugu ukiwemo Ukimwi.
kuna taarifa kwamba vigogo wa serikali walifulika huko na magari ya umma
kuna blog mmoja jina linaanza na (is) ilikua ikisifia mafuliko hayo ya vigogo
bila hata kupoint out jinsi mali za umma zinavyochakachuliwa kwa matumizi binafsi
ya viongozi wetu,
kwa mahesabu ya haraka unaweza kuona hii sio kitu lakini ukweli ni kwamba
mafuta kwenda zaidi ya kilometer mia nne na hiyo ni kutoka Arusha mjini
zingatia barabara mbovu pia kwa kutmia shangingi na wengine yawezekana
walitokea mwanza, Dar , mbeya na hata Songea
ni mamilion mangapi hayo kama sio mabilion serikali imepoteza kwa tukio la huyo
mganga tu,
wakati huu huo kuna wanafunzi wa madarasa tofauti wanatumia darasa moja
ni lini matumizi ya mali za umma yatazibitiwa ili salio limnufaishe mtanzania anaye kufa
kwa kukosa dawa za malaria huko vijijini.
tulifanikuwa kupata namba moja ya magari hayo ya serikali SM 3178
nina alifanya ufisadi huu kwa kutumi hiyo gari

kwa nini lakini? mbona hali ni ngumu na hakuna anayejali
mawaziri husika kimya na huyo Pinda mtoto wa mkulima anatuambia nini hapa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom