Anaruditena
Member
- Apr 29, 2010
- 51
- 4
Jk ni msoga kila wiki. Ni udini tu. Mabomu mimi sijui na watu wamekufa mimi sijui. CCM lazima kujizatiti upinzani unakuja juu sana
Mchezo wa siasa sasa utaanza hapa... Watakuwa wanajipanga tu ili waangalie namna ya kuchezea akili za Watanzania... Mbagala limetokea na wakaturubuni na kisha kufukia kila kitu sasa hata hatujapona na jeraha lile linakuja hili... Ndani ya kipindi cha Uongozi cha JK, in les than two years yanatokea haya mara mbil...
Kuna haja ya kuwajibishana...na kuna haja ya Watanzania kuwawajibisha wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza.!
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda anatoa taarifa bungeni kuhusu milipuko ya mabomu Gongo la Mboto
Azungumzia takriba watu 19 wafariki
Raisi kukutana na baraza la usalama la taifa
Bunge laahirishwa ..sababu ya hofu kubwa kwa wabunge