Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

asema Rais amepewa taarifa na kushushwa na tukio hili
 
Asa kuahirisha bunge kunasaidia nini kwa tatizo la gongolamboto na wakikutana iyo kesho watakuwa wametatua nini???? spika na wenzako mlioshauriana kufikia uamuzi huu nyote u are STUPID ******!!

Mimi na wewe hatujui Kamati ya usalama wa Taifa inaundwa na kina nani, kama baadhi yao wako Bungeni ni dhahiri lazima wanede DSM fasta kuwahi vikao.
 
hii ni noma kwa picha zaidi tembelea hapa <a href="http://mdau.kislat.com/blog/index.php"> hapa</a>
 
sioni sababu ya kuahirisha bunge coz it wont make any difference. Kama waziri wa ulinzi usikua anapigiwa simu 1hr baada ya bomu la kwanza kulipuka na anasema hana taarifa, kuna umuhimu gani wa kuwa na serikali?
 
waliokufa ni zaidi ya watu 200, kwa nini wanadanganya watu?
wametaja waliokufa hospitalini, je waliokufa hapo hapo wamewahesabu?
 
Hayo mabomu ni yale ya Kivita au yale ya kuwapiga waandamanaji wa vyama vya upinza na vyuo vikuu? Kama ni ya kivita si wajenge ghala kwenye moja ya misitu ya nchii hii
mabomu haya ni ya kivita mkuu-hii nchi inasehem nyingi sana ambazo hazina watu-wanaweza kujenga kambi zao hapo na arsenal zao kwenye maeneo hayo pasipo na shida yoyote-ila kwa kuwa kila kitu wanakipeleka dar es salaam-ngoja hayo mabomu yawatokee puani
 
what is better, kukaa bure kwa wabunge 357 dodoma wakilipwa stahili zote au kuendelea na mijadala na kuwataka serikali walete kauli ya tukio kesho? nani anabeba garama za kuendelea kuwaweka dodoma?

kweli hatuna uongozi hii nchi


ndugu yangu, gurudumu.hiii habari inanisikitisha sana watu wanatumia fedha zetu kucheza nazo kama pipi iko siku nasi tunakuja watakuja tambua umuhimu wa fadha zetu,

haingii akilini kwa watu kukaa bila kufanya kitu siku ipite,haya ndo mmadhara ya kuwa na viongozi ambao hawafikirii impact za maamuzi yao kwa jamiii.

hapa ni jambo la muhimu kuendelea kukukza jamiii ambayo itakuwa tayari kudai haki zao na kuwajibisha viongozi na hii inaanza na mimi na wewe kudai dhamani ya kodi zetu tunazolipa kwa serikali yetu
 
wanakwepa hoja binafsi ya kutaka waziri wa ulinzi ajiuzulu.

ccm wanaogopa chadema kama ukoma.
 
hamana jipya Tume ya mabomu mbagala iwajibibshwe , sasfu ya juu ya jeshi nao wafuate, waziri wa ulinzi naye pia
 
Hili swala haliitaji kamati,tume wala madudu yoyote aliyozoea kuyafanya JK. Watu wawajibishwe ipasavyo,period!
Yaani wacheze na maisha ya watu halafu waundiwe tume...huu ni uwendawazimu.
JK should act soon and reasonably
 
hopeless kabisa!!
uwajibikaji hii nchi ni ndoto,ya mbagala yameisha KIHUNI-HUNI tu
watu adi leo kule hawakufidiwa nk nk
afu bado waziri yupo,waziri mkuu nae hana jipya

shida sana awa watawala
 
Hivi hizi tume zikiundwa zinalipwa posho au coz nafikiri mimi hizi kazi ni za usalama wa taifa au wapelelezi na wazee wataarifa za kientelijisia
 
1.Dr Hussein Mwinyi
2. Gen. Davis Mwamunyange

Nadhani mnapaswa, kwa busara zenu, kupima na kuchukua hatua. Vinginevyo, Rais atuambie ni vipi tunaweza kuendelea kuwaamini.
 
I despise them all!! The President and his bandwagon of hypocrites!! Call me a hater, if you like. Wamewaua ndugu zetu kwa mabomu, sisi tutawaua kwa mawe!!
 
Jambo la kwanza litakalotokea si kuhudumia waathirika au wafiwa, bali kukimbilia kuunda TUME. kuunda tume ndio njia inayotumiwa na viongozi wavivu wa kufikiri au kutatua matatizio ya wananchi wao. Ni njia ya kuongeza muda (buy the time) ili kutafuta majibu ya kuwaghilibu wananchi.
Tukumbuke kuwa Mabomu ya mwaka jana iliundwa TUME ambayo hatukupata taarifa zake. Ilipoundwa tuliambiwa lakini taarifa yake ni siri,hapa ndipo mjue tunadanganywa.
Kwa vile tume ilishamaliza kazi yake na taarifa wanazo, hakuna sababu ya kuunda tume nyingine. Tunachotaka ni majibu na waliohusika waondoke madarakani mara moja. Ninasema majibu kwasababu kama jeshi lilikuwa tayari wakati wa uchaguzi kwanini lisiwe tayari kutueleza mabomu yao wenyewe wanayojua yapo wapi yana umri gani, nani anatunza n.k. Hapa Shimbo aje na majibu, si majibu yale ya kuingilia demokrasia na ushabiki bali majibu ya taaluma yake.
HUTATAKI TUME TENA.
Asant sana ndugu yangu mie ninauchungu mkubwa sana umeongea point tupu. Sijui tufanye nini jamani. lazima tuchukue hatua.
 
tume zinamaliza fedha ya mlipa kodi tunataka vitendo sio tume zizo na meno
 
Back
Top Bottom