Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda anatoa taarifa bungeni kuhusu milipuko ya mabomu Gongo la Mboto

Azungumzia takriba watu 19 wafariki

Raisi kukutana na baraza la usalama la taifa

Bunge laahirishwa ..sababu ya hofu kubwa kwa wabunge
 
Kauli ya pinda anasema watu walio fariki ni 27!!Na ametahadharisha watu wasiwe katika eneo lilokuwa na majanga hayo na watu 4000 wamekusanywa kwenye uwanja wa Uhuru!!Maghala yaliyo haribika ni maghala 25!!yote yalikuwa yamesheheni mabomu!!Na Rais anaenda kukutana na kamati ya Ulinzi na usalama Muda mfupi ujao ili kujua nini chanzo cha mlipuko huo!!
 
Hana jipya lolote..
Anaongelea kuunda tume ya kuchunguza tukio hilo....just as everyone expected!
So far hakuna aliyewajibika!

Lakini ameripoti kwamba kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa imeitwa na Rais mara moja...sijui kama watamshinikiza MWINYI ajiondoe!
 
Kutokana na Mabomu ya G'mboto Anna Makinda amehairisha Bunge hadi kesho saa 3.
 
uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKN sio salama ... ndege zashauriwa kutokutua .....
 
Assurance of more days for sessions(extension), and hence more allowances for MPs!...Thats all i can dream!...huh!
 
nasubiria kusikia watu wanawajibika kwa hili... hatutaki kusikia habari za tume kwa hili
 
Hatuna nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, jeshi simama imara
 
watu 26 wamefariki dunia na zaidi ya 30 serious casualties. Wanatutoa kafara, wacha mwisho wao umefika!!
 
Jamani kuahirishaa bungee kunasaidiaajee kukabiliana na hili janga? Ilianza mbagala, ripoti hatuijui,leo tena gmboto!!! shame on you govt and JWTZ!!!!
 
Kuna uwezekano wa Barabara ya Pugu(Pugu road) isitumike kwa muda; kwa sababu za kiusalama.
 
what is better, kukaa bure kwa wabunge 357 dodoma wakilipwa stahili zote au kuendelea na mijadala na kuwataka serikali walete kauli ya tukio kesho? nani anabeba garama za kuendelea kuwaweka dodoma?

kweli hatuna uongozi hii nchi
 
Back
Top Bottom