Pinda azungumza na watanzania nchini uingereza

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]Wednesday, October 17, 2012[/h][h=3][/h]

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini uingereza jijini London Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Safari ya Uingereza; Kuongea tu na WATANZANIA wa huko... NCHI ina PESA!!!
 
DUHH HUYU NAE YUKO SAFARINI
mBONA KIMYA KIMY AHATA WATANZANIA HAWAJUI
KWELI NCHI INA PESA
 
Mwambieni arudi nyumbani, kunawaka moto. Ponda yuko korokoroni.
 
Mwache na yeye akasafishe macho kila siku mkulu ndo anasafiri peke yake tu mwache na mwanaKatavi wetu akirudi apate cha kusimulia kule kwake Mpimbwe
 
DUHH HUYU NAE YUKO SAFARINI
mBONA KIMYA KIMY AHATA WATANZANIA HAWAJUI
KWELI NCHI INA PESA

Rais is away, PM is away, VP is away....who is in the state house? first lady and grands? or bibi also is away?...I can smell army mutiny here!!
 
Rais is away, PM is away, VP is away....who is in the state house? first lady and grands? or bibi also is away?...I can smell army mutiny here!!

hahahahahah mkuu Thanda bado kuna CJ nafikiri yupo yupo
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ukichunguza sana unawezakuta "The Big five wote hawapo nchini"

Mkuu Thanda ndani ya tanzania kila kitu kinawezekana
Wanakula maisha bana kwani bongo kuna raha gani
Spika yuko India, Rais Oman na Waziri mkuu Uingereza na ukiuliza unaweza kuambiwa hata huyo CJ hayupo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Thanda ndani ya tanzania kila kitu kinawezekana
Wanakula maisha bana kwani bongo kuna raha gani
Spika yuko India, Rais Oman na Waziri mkuu Uingereza na ukiuliza unaweza kuambiwa hata huyo CJ hayupo
Serikali yetu hapa jambo kama hilo likifanyika, wote wanachunguzwa mara moja.....niliona juzi tu ukarabati wa nyumba ya Jacob Zuma umegharimiwa na serikali, lakini ingawa yeye ni rais wa nchi..anachunguzwa na huenda akahojiwa na vyombo vya usalama kuhusu matumizi sahihi ya ukarabati huo.....kuna kelele kuwa fedha iliyotumika ni nyingi mno.
 
Mkuu Thanda kwa wenzetu kila kitu kinawezekana ila hapa unapounda tume kucchunguza wajumbe wa tume wanapewa hela ndefu na nyingine ambazo hatuambiwi zinawekwa kwenye account at the end of the day wanakuja na report ya kuwapongeza na kuwasifia waliofanya jambo hilo na inaonekana hakuna makosa kabisa wala ufisadi
Bado tuna safari ndefu sana kufikia kwenye accountability ya kiongozi mmoja mmoja au watawala wetu
 
Last edited by a moderator:
Kweli anadiriki kwenda kutalii wakati Jk na Membe wote nao wako Oman!

Jamani Nchi yetu inakoenda siyo kwenyewe kbs!

Hili siliungi mkono kamwe!
 
Mkuu Thanda ndani ya tanzania kila kitu kinawezekana
Wanakula maisha bana kwani bongo kuna raha gani
Spika yuko India, Rais Oman na Waziri mkuu Uingereza na ukiuliza unaweza kuambiwa hata huyo CJ hayupo

Mkuu Thanda kwa wenzetu kila kitu kinawezekana ila hapa unapounda tume kucchunguza wajumbe wa tume wanapewa hela ndefu na nyingine ambazo hatuambiwi zinawekwa kwenye account at the end of the day wanakuja na report ya kuwapongeza na kuwasifia waliofanya jambo hilo na inaonekana hakuna makosa kabisa wala ufisadi
Bado tuna safari ndefu sana kufikia kwenye accountability ya kiongozi mmoja mmoja au watawala wetu

Nchi yangu Tanzania.pole sana. Siku moja JK alimwuliza Lt Col. Ian Khama Seretse Khama (Rais wa Botswana) nini chanzo cha mafanikio ya nchi yake kiuchumi, na kijamii aligusia kidogo kwani ilkuwa ni pale Tlokweng katika mlo ulioandaliwa na Rais...(katika mlo huo tulifungua kinywa na kgosi nyama kavu zilizopondwa pondwa. Niseme ni nyama pori vile. Majibu yalikuwa mepesi sana lakini yenye uzito kimantiki. 1.WAJENGE VIONGOZI KATIKA MFUMO DUME HATA KAMA NI WANAWAKE 2.EPUKA KUWADANGANYA RAIA ZAKO KUHUSU JAMBO LOLOTE AMBALO WAO WANALIONA KATIKA MTAZAMO TOFAUTI..3 UKISIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI ELEKEA KWENYE MEDIA HARAKA NA IKIWEZEKANA TANGAZA HALI YA HATARI KUHUSU JAMBO HILO MOJA AMBALO LINAWEZA LETA MADHARA. 4 MWISHO KUWA MKWELI ANGALAU KWA 98% WEWE BINAFSI NA ROHO YAKO NA WALA USIMBEBE MTU YEYOTE HATA KAMA NI RAFIKI YAKO WA KARIBU. Haya maneno sijayatunga yako katika mfumo wa electronic naweza kuyaposti....wa kaya alijihisi mnyonge sana ila alikubali kwa shingo upande lakini huo ndio uliokuwa ukweli.
 
Wacha mtoto wa mkulima nae asafishe macho anaweza pata japo trekta au mizinga ya nyuki akapeleka katavi
 
Wamekimbia nini hapa nchini??
Yani mpaka huyu mamba kapata safari kipindi hichi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom