Pinda awashauri madiwani wa CHADEMA kwenda mahakamani

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.

Yeye mtoto wa mkulima yanamhusu nini? Amekaa wiki nzima bila kutoa tamko lolote kuhusu suala la mafuta sasa hivi hawa madiwani wa CDM anawatakia nini?Ningelikuwa yeye ningejibu tu: hayo masuala ya CDM kufukuzana ni yao wenyewe.

waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.

Leo katika mkutano wa hadhara Arusha mhe. Marando amemjibu PM kuwa kama sheria anaifahamu basi anamuomba akawe wakili wa madiwani wa5 waliofukuzwa uanachama huku yeye (Marando) akiwa upande wa pili halafu ataona kama anafahamu sheria au anaigiza na kuropoka alichowatuma hao madiwani waliokuwa CDM!

My take.
Mhe. Pinda akashughulikie matatizo ya magamba kwanza ndipo awe msemaji wa CDM. Kuna mambo mengi sana huko ccm anayoweza kufanya, kama hayaoni aseme tumuonyeshe. Kwa kuanzia tu, akawafukuze kwanza akina EL na AC, na awashauri kwenda mahakamani kama hawataridhika na maamuzi.

Kifupi ni kwamba CHADEMA imethubutu kufanya kile ambacho ccm sio tu hawawezi kufanya ila hawatakaa waweze kukifanya mpaka itakapokufa hivi punde!

Tanzania ina waziri mkuu mwenye sura mbaya kuliko ma-PM wote duniani.

we expect much crap from him
Kwa kweli kauli hizi ni za kidhalilishaji sana mkuu. Wewe unajijuaje kama una sura nzuri? Tuwajaji watu kutokana na utendaji wao na si muonekano wa kimaumbile. Pinda hakujiumba sawa!!

Hili Lipinda hata halijui lipo pale kwa kazi gani, linakula mpunga wa walipa kodi tu, hakuna faida linalorudisha.

mbona hilo nij jambo dogo cuf waliisha wafukuza wabunge 6 nini madiwani! madiwani watu wadogo sana.

Kwa kweli kauli hizi ni za kidhalilishaji sana mkuu. Wewe unajijuaje kama una sura nzuri? Tuwajaji watu kutokana na utendaji wao na si muonekano wa kimaumbile. Pinda hakujiumba sawa!!

mods upo wapi unamuachia mpuuzi kama huyu anamdhalilisha kiongozi wetu mpige ban tusimuone tena jf.

waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.

makalio thinking at it best!

Ni ukweli wa kimantiki kuwa kama kuna wazuri basi na wabaya wapo. Ila ni kweli pia uzuri au ubaya wa m2/ki2 upo kwenye macho ya mwangaliaji. Hivyo kumwita X ana sura mbaya ni sahihi kwani ndivyo anavoonekana na Y. THINK OUTSIDE THE BOX

pinda sio mzima anumwa ugonjwa unaitwa tamaa juu ya wapinzani, akiwaona wanavyoelewana na kutoa maamuzi kwa pamoja na yenye kupongezwa na wananchi kinamuuma sana na anatamani magamba wangekuwa hivyo but peopleeeeeeeeeeez poweeeeeeeeeer

waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.
naona sasa tunashuhudia rais na waziri mkuu legelege kupita wote waliotangulia.....labda alikuwa anatumia makunyanzi yake kufikiria ndo maana akasema upupu kama ule! yaani haiingii akilini kabisa!

Kwa kweli kauli hizi ni za kidhalilishaji sana mkuu. Wewe unajijuaje kama una sura nzuri? Tuwajaji watu kutokana na utendaji wao na si muonekano wa kimaumbile. Pinda hakujiumba sawa!!

pinda ni kweli ana sura mbaya.

Pesa nyingi nchi hii zinaporwa kwa ushirikiano mkubwa sana na mtandao wa viongozi wa serikali, vyombo vya usalama, watu binafsi kwa ushirikiano mkubwa sana na kwa usiri mkubwa. Mataifa ya nje yanajua kinachoendelea kuliko watanzania wenyewe. Kwa mataifa ya nje mtandao wa fedha kwenye mabenk ni wa wazi na wanahoji uhalali wa pesa hizo kama inatia shaka la mapato ya mtu kuwiana na hali ya pesa alinanazo.

Vyombo vya usalama wa nchi ya Tanzania kama usalama wa taifa wasingekuwa ndani ya mtandao huo ingekuwa rahisi kunasa watu wanaojilimbikizia pesa nje. Na kuna uwezekano mkubwa kundi la watu au chama cha siasa kutunza pesa nyingi zilizochotwa serikalini kwa kutumia jina la mtu fulani.

Kumbukeni kashfa zinazofumuliwa kama mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi Tanzania kukutwa na pesa kiasi kile kwa mtu binafsi si rahisi kwani hata matajiri wakubwa duniani inawachukua miaka na katu wengi hawafikii na kiasi hicho kwa matajiri. Na matajiri utajiri wao hujumuisha mali walizo nazo pamoja na property zao, kwa si rahisi mtu kutunza pesa taslim kiasi hicho kwani ni jambo la kushangaza.

Hili ni jambo la kujiuliza pesa nyingi hivyo kuhifadhiwa na mtu binafsi na inapoibuliwa hakuna jitihada za serikali kushuhulikia. Na kinachofanyika ni kushoofisha jitihada za kufunua uchafu huo na kufifisha kashfa hizo kwa nguvu zote, na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali katu havigusii jambo hili. Hakika tumefika pabaya na huko mbele yatatukuta kama yalivyowakuta wenzetu.

Tukumbuke kwamba haki ya watu haiwezi kuendelea kuchezewa
na wachache kwa maslahi binafsi.

Binafsi nimependa ushauri wa Waziri Mkuu kwa madiwani wa Chadema; kwani umeset up vizuri sana siku chama hicho kitakapowatimua kina fulani!

Back
Top Bottom