Pinda atasemaje leo Bungeni ?

Anaweza akaishia kulia.
Mi namshauri km vp asigusie kabisa suala la Daktari aliyepigwa. Awe strict na msimamo wa serikali ya ccm.
 
Anaweza kusema pia kuwa "katika uwaziri mkuu wangu huu, nimetumika vibaya kiliko na mapenzi yangu. Kuliko na yaliyokuwa mataajio yangu. ....... Na kwa vile nimetumia jitihada zangu zote kumshauri vema kakaangu juu ya uendeshaji wa serikali yake na kwakuwa hakunisikia na hanisikii hata kwa tukii la jana, jamani LIWALO NA LIWE nimeamua kujivua gamba.
 
Atakachosema:-
1. Viongozi wote au vinara wa mgomo wa madaktari serikali inawasimamisha kazi.
2. Serikali itaagiza madaktari kutoka nchi marafiki kama China na Cuba ili kufidia pengo la Madaktari

Na mwisho atatoa machozi ili kuonyesha unafiki kwa yale yaliyotokea kwa Dr. Ulimboka.

MUHIMU: Pinda hana uzoefu hata kidogo katika mchakato wa 'CONFLICT RESOLUTION' ndio maana alisema 'liwalo na liwe' maana background yake ametokea usalama wa Taifa Ikulu kwa muda mrefu hakuwa mtendaji bali mtumwaji yaani ni mtu wa kupokea DIRECTIVES. Uwezo wake wa kutatuwa mgogoro huu umefikia kikomo - no more thoughts!
 
Anaweza akaishia kulia.
Mi namshauri km vp asigusie kabisa suala la Daktari aliyepigwa. Awe strict na msimamo wa serikali ya ccm.

Hivi ni bingwa sana wa kutoa machozi ee?
Hahahaaa atamlilia Ulimboka...
 
Atatangaza kuwafukuza kazi madaktari wote na kuwaambia wale wanaotaka waaply upya kwa kuleta barua ya maombi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom