Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda Aliukataa Uwaziri Mkuu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by popiexo, Nov 23, 2010.

 1. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 748
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri mkuu Mizengo Pinda aliukataa uwaziri Mkuu na ikalazimika JK atume watu wakamshawishi na kupelekea jina lake kushindwa kupelekwa bungeni asubuhi kwa ajili ya kupitishwa, Katika kumshawishi aikubali tena nafasi hiyo JK alimwambia Mtoto wa Mkulima kwamba sabau miaka mitano iliyoisha hatujafanya viziri ndio maana unanitosa? Pinda alikubali kuendelea kwa sharti la kuwa na equal say katika kuunda baraza la mawaziri na hii ndiyo inayopelekea baraza kuchelewa kutangazwa.

  Source; system
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona unaficha ficha,sema tu kuwa Pinda kayanza hataki kuwa baraza moja na wezi.BASI
   
 3. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 4,892
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  mmh!!!
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,549
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lisemwalo lipo :)
   
 5. n

  nkosiyamakosini Senior Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni UHUNI, absolutely UHUNI!
  nani kakwambia mtoto wa mkulima kakengeuka? system? system gani ambayo inaweza kukupa data mfu!
  ugly, thanks
   
 6. HIMO ONE

  HIMO ONE JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kweli mtoto wa mkulima ana njaa kali na kuna mradi wake kule gongo la mboto haujakamilika hawezi kataa hela
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,860
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 48
  Kwani pinda ni clean kiasi hicho?
   
 8. D

  Dotori JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 567
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fictional.......
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,123
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Mradi gani gongo la mboto. I am curious about the mentioned project
   
 10. E

  Edwin Mtei JF Gold Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sala yangu kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba Mhe. Pinda ataweza ku-persuade J.K. kutowashirikisha wezi ktk Cabinet yake mpya.

  Hata hivyo Chadema kitaendelea na mikakati na misisitizo yake ya kutaka Mabadiliko ya kweli. Hakuna kulala vijana, mpaka Kieleweke.
   
 11. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,310
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mhm,na hadithii hiii ya kutungwa alikufundisha naniiiii popiexo??
   
 12. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 842
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Topic haina manufaa sana kwa sababu Pinda ameshaapishwa na ndiye PM anayeongoza Bunge la 10
   
 13. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu mwadilifu kufanya kazi na JK kazi kweli kweli
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,309
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Ndugu wana JF wenzangu, hebu wakati mwingine tufanyie taarifa hizi tafiti kabla ya kuziweka humu ndani. Hii inatupotezea maana nzima ya globu yetu ya JF ya 'GREAT THINKERS'. Kwa kweli mie inaniumiza sana kuona tunapoteza mwelekeo wetu wa kuelimisha jamii ya Watanzania. Na tujitofautishe na Globu zingine kwani wana JF tunasifika kwa kutoa hoja zilizo kwenda shule, hebu tujirekebisheni basi wakuu wenzangu.
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 8,563
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  unajua mtoto wa mkulima hana kauli kule

  uwaziri mkuu wake ni kama pambo tu wenye kauli na maamuzi wengine
   
 16. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,232
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Lete uchafu/ufisadi wake mmoja tu....please
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,252
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 48
  mwee PINDA akatae uwaziri mkuu!! labda awe karudi yesu..nani kakuambia anaweza kuukataa uwaziri mkuu..Hukumbuki alipotoa kauli za hovyo juu ya kuuwa albino alivotaitiwa ajiuzuru alimwaga chozi..hakuna mtu wa kukataa U PM pale...
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,181
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Nasikia pinda ana chimbo lake permanent la kuchakachulia warembo
   
 19. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 5,021
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  Deal la kilimo kwanza yumo!
   
 20. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tetesi
   

Share This Page