Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

PM wetu angefaa sana kuwa muhudumu wa mortuary ili alie vizuri hadi atosheke.

pinda angefaa sana kuwa mwalimu mkuu wa chekechea sio mp. Kauli na hisia zake ni kuwapoza kindergatern sio watu wazima. "wanaoua nao wauawe" pinda huyo, alafu anamwaga chozi; "madaktari walogoma wamejifukuza" pinda huyo, alafu maiti mpaka milangoni muhimbili, yeye kimya. "magufuri anatoa mabango barabarani pinda anamfokea" pinda huyohuyo. Jk sifa yako inapotea gafla sababu pinda hajui lakufanya, mpeleke semina elekezi yake peke yake tena mafichoni umpe job discription labda atabadirika. Pole jk.
 
Kuna taarifa kwamba wagombea uraisi wa mwaka 2015 na wapinzani wa jk wana mshambulia mtoto wa mkulima ili kudhofisha utendaji kazi wa serikali. Sasa naomba kama hawa watu wapo waache hii tabia ili tuwaache viongozi wetu wafanye kazi na watuletee maendeleo. Kama kuna anaetumiwa na mgombea uraisi basi arudishe ujumbe kwa aliye mtuma kuwa asubiri 2015 ndio atangaze nia na sio kumchafua mtoto wa mkulima na serikali.

Nawasilisha.
 
hizo taarifa umetoa wapi? Huyo mtotowa mkulima hana lolote kichwani kilaza sana hata watoto ameshawaambukiza ukilaza kuna mmoja alidisco chuo mwaka jana
 
"...tuwaache viongozi wetu wafanye kazi na watuletee maendeleo." Ni viongozi wapi hao katika serikali hii wanaofanya kazi, na ni kazi ipi hiyo wanayoifanya? Halafu mtu mzima kama wewe unadiriki bila aibu kusema unasubiri viongozi wako wakuletee maendeleo? Come on!
 
Mzee Pinda unaonekana kituko kwenye serikali yenu, yani umekuwa mtu wa kudhalilishwa, unatumika kuongea halafu wenzako wanakukana.
 
Mtoto unayemsema mwenyewe ni kilaza....dume zima utapelekeshwaje na wanaume wenzako??? Tangu aingie kwenye wadhfa huo amekuwa km kondoo mwenye njaa yan hakuna kitu.Waaaaay
 
Ni kweli wewe Don Killuminati ungekuwa Mizengo Pinda ungejiuzulu ila kwa vile wewe ni Don Killuminati na sio Mizengo Pinda, then you are right ungekuwa wewe. The fact is wewe sio!.
 
Kuna taarifa kwamba wagombea uraisi wa mwaka 2015 na wapinzani wa jk wana mshambulia mtoto wa mkulima ili kudhofisha utendaji kazi wa serikali. Sasa naomba kama hawa watu wapo waache hii tabia ili tuwaache viongozi wetu wafanye kazi na watuletee maendeleo. Kama kuna anaetumiwa na mgombea uraisi basi arudishe ujumbe kwa aliye mtuma kuwa asubiri 2015 ndio atangaze nia na sio kumchafua mtoto wa mkulima na serikali.

Nawasilisha.

Mkuu naona unatetea maiti!!
 
ameshasema 2015 ndo mwisho wake hataki tena hiyo mizigo yakuita watu hawaji
 
Mzee Pinda unaonekana kituko kwenye serikali yenu, yani umekuwa mtu wa kudhalilishwa, unatumika kuongea halafu wenzako wanakukana.

Kukubali kirahisi kushuka kwenye V8 na kufunguliwa milango ya gari na nyumba si rahisi kihivyo. Lazima uwe na akili ya kiuendawazimu.
 
Ni kweli wewe Don Killuminati ungekuwa Mizengo Pinda ungejiuzulu ila kwa vile wewe ni Don Killuminati na sio Mizengo Pinda, then you are right ungekuwa wewe. The fact is wewe sio!.
P
asco ungekuwa Lowasa ungejiuzulu au ungekomaa?
 
Huyu jamaa kwani si ameshalishwa dawa ya kufunga ubongo kufikiria!!!!!!!!!!!!!
 
P
asco ungekuwa Lowasa ungejiuzulu au ungekomaa?
Don ningejiuzulu ili ku save faces kama ilivyojiuzulu ili kumnusuru mkuu. Pinda nae aliagizwa kutishia kuwatimua madaktari ila mpaka sasa hajawatimua na hata watimua hivyo hana sababu ya kujiuzulu kama EL. Kwenye issue ya Richmond mkuu ali mess na ni EL alie clear ile mess, kwa madaktari no mess!. Wanaokufa ni masikini wa kutupwa hivyo wanapunguza expenses to keep them!. Just let them die na hakuna wa kujiuzulu!.
 
Jamani nilikuwa Sumbawanga juzi. Katika pitapita zangu nikakutana na mzee mmoja mfanyabiashara pale ambaye nilikuwa na urafiki na mwanaye wakati nikiwa nasoma Kantalamba miaka ya 1990,huyo Mzee katika stori zetu ndo kaniweka wazi kuwa kampuni ya mabasi ya SUMRY na huyu anayejiita Mtoto-wa-Mkulima yumo.
 
Hata uwe msafi (Ingawa Pinda hakuwa msafi toka mwanzo) kwenye mfumo ulioharibika nawe utaharibika tu. Tatizo ni mfumo mbovu! Pinda amekuwa kwenye huu mfumo mbovu katika maisha yake yote hawezi kuwa msafi. Inawezekana ni kweli yeye ni mtoto wa mkulima lakini haina maana kuwa na yeye ni mkulima!! Huyo ni fisadi tu huoni anavyotetea posho ya Tsh.330,000 na ndugu yake Ndugai (Bwana posho kama member mmoja alivyomwita) wakati wananchi wanataabika na hospitali hakuna huduma?
 
Bus mbovu sanana hatari mno kwa speed , natamani kusikia Dar Exp anahamia njia hiyo nionekama Pinda atanyooka au atabakia kapinda kamahaya ni ya kweli .
 
JAMAN PINDA NA WEWE...??? HALAFU unajfanya kijilizliza hovyo na kujiita mtoto wa mkulima huna lolote fisadi tu nawewe, nlisikitika sn kukuona unakomaa mpk jasho linakutoka unataka posho 330,000.00, Pinda toka utawala wa Nyerere upo madarakani HUJARIDHIKA TUU!!!!???
 
Back
Top Bottom