Huyu Barrick jeuri yake inatokana na rais wetu kukubali kuhongwa. Hawa walisema mtatufanya nini, hata rais wenu tunamhonga? What do you expect?
Chunguzeni uhusiano wa mzungu anaitwa SinClair , Barrick gold na mkweree ndio mtajua jeuri yao wanaitoa wapi!! Pinda anajishaua shaua tu hajui kinachoendelea nyuma ya pazia mwisho wake atakuja kalipiwa na bosi wake. Ikumbukwe tu kwamba corporate social responsibility haiwalazimishi wawekezaji kuwasaidia vijiji jirani ni hiari yao kiasi gani watasaidia; wangetaka iwe lazima serikali ingehakikisha kwenye mikataba ya uwekezaji nchini inawekwa wazi ni kwa aslili mia ngapi ya faida migodi inayopata kila mwaka itumie kwa misada hiyo.