Pinda ajiandaa kuwahadaa madaktari leo.

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Kuna habari kuwa asubuhi ya leo mh Pinda atakutana na watumishi wa Idara ya afya walio ktk mgomo.Hakuna atakayenishawishi kuwa waziri mkuu Pinda atakuwa na majibu ambayo wataalamu wa tiba wanaitarajia zaidi ya porojo na ahadi zisizotekelezeka!Kwa mawazo yangu,muda wa mazungumzo ulipita,na mazungumzo yoyote ya sasa hayatakuwa na lolote zaidi ya unafiki tu.Nawashauri madocta msiwe kama wanafunzi wa elimu ya juu ambao wakigoma,huenda kiongozi wa serikali na fulana,kofia na kadi za ccm then anapiga blaablaa na,kuzigawa na,ndo mwisho wa mgomo.
 
naamini madaktari wana uwezo wa kugundua mgonjwa ni nani na yule anayefake ni nani,kuna mtu anaweza kumuhadaa daktari amuandikie E.D?daktari anataka ukweli na kama haumpi ukweli atakupima na kukupapasa ili apate ukweli.sidhani kama pinda atatumia muda huu adhimu vibaya.
 
Akishindwa kuwashawishi atatoa machozi na watashawishika.
 
Sasa nyinyi mnataka mgomo uendelee tu bila kikomo? What is the logic? Chadema bana..............hamnazo!
 
Jesuit,inaonekana wewe ni kati ya mafyatu,vichwa maji,vichwa vya panzi vya nchi yetu!Ndio mnaotupa tabu na bado mko wengi sana,kazi tunayo!Umeona wapi CHADEMA ikitajwa kwenye thread hii?Haki yako,ya madaktari na watz ina uhusiano gani na CHADEMA?
 
Kuna habari kuwa asubuhi ya leo mh Pinda atakutana na watumishi wa Idara ya afya walio ktk mgomo.Hakuna atakayenishawishi kuwa waziri mkuu Pinda atakuwa na majibu ambayo wataalamu wa tiba wanaitarajia zaidi ya porojo na ahadi zisizotekelezeka!Kwa mawazo yangu,muda wa mazungumzo ulipita,na mazungumzo yoyote ya sasa hayatakuwa na lolote zaidi ya unafiki tu.Nawashauri madocta msiwe kama wanafunzi wa elimu ya juu ambao wakigoma,huenda kiongozi wa serikali na fulana,kofia na kadi za ccm then anapiga blaablaa na,kuzigawa na,ndo mwisho wa mgomo.

kichwani kwako kumejaa matope badala ya akili.
 
katoa vitisho vyote na hakufanikiwa sijui leo jipya gani atakaloenda kusema haya twasubiri
 
Back
Top Bottom