Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
01_11_u0xrjx.jpg

SOMETHING seems to disgust Prime Minister Mizengo Pinda (right) at a female students’ room when he visited halls of residence at the University of Dodoma on Sunday. The university faces acute water shortage. (Photo by PMO)
 
Mipango yetu mara nyingi huweka siasa mbele na utaalamu baadaye.............hivi utawarundikaje wanafunzi wapatao 40, 000 na unajua fika hakuna maji?
 
Mipango yetu mara nyingi huweka siasa mbele na utaalamu baadaye.............hivi utawarundikaje wanafunzi wapatao 40, 000 na unajua fika hakuna maji?


Na inakuwa mbaya zaidi unapokuta wataalam (wasomi) wanacheza mdundiko wa wanasiasa....kwa kufuata kila kitu wanasiasa wanachosema bila kuhoji mantiki.
 
01_11_u0xrjx.jpg

SOMETHING seems to disgust Prime Minister Mizengo Pinda (right) at a female students' room when he visited halls of residence at the University of Dodoma on Sunday. The university faces acute water shortage. (Photo by PMO)

Nimevutiwa na huyo denti mwenye blue jeans. Ana mvuto............!!!
 
01_11_u0xrjx.jpg

Hawa watoto PM anawatembelea hata hawajishughulishi kubandua vichupi vyao pale ukutani lol!!
 
Hawa wanafunzi wamemtega Pinda, mbona VIFULI vimewekwa juu ya pillow. angalia kitanda cha juu
 
Hivi asichokijua pinda nini?Si ni yeye aliyekuwa akiimba wimbo wa kujisifu kwa ujenzi wa UDOM na ngonjera za mafanikio ya CCM?Wanaona sifa kufanya expansion kama uyoga bila kufanya feasibility study?au ilifanyika lakini wataalamu wakashinikizwa kutofuata maadili kwa sababu za kisiasa?Shame on them.
Sponge hapa linaonekana kushindwa kufanya kazi!Labda limefikia saturation point!
 
01_11_u0xrjx.jpg


Hapo juu ya kitanda ndio kuna mdori na hapo nyuma ya pilo kuna nini kimeanikwa Cheupe na blue bahari ??????
 
mi nilikuwepo UDOM siku hostel za kwanza kabisa zinahamiwa za college of humanities ... ni typical na mabibo hostel. ilikuwa siku ya jumamosi ndio wanafunzi wanaingia, ijumaa tulikaa na uongozi wa chuo kuwaeleza kuwa majengo hayajafanyiwa testing yeyote hata ya umeme kwani umeme ulikuwa umeunganishwa siku hiyo hiyo ya ijumaa (kumbuka hitilafu yaweza tokea). na maji yaliunganishwa siku wanafunzi wanaingia, ilikuwa aibu. mabomba ya maaji yanavuja, vyoo vinavuja, kulinuka kote kama chooni. kisa nini haraka. we fundi yuko chooni anamalizia bomba anaona mtu wa gorofani kaflush na vitu vyaja.

siasa inapeleka mambo ovyo kuliko hali halisi, hiyo shida ya maji ilionekane kama miaka 3 iliyopita tatizo wanasubiri kila mwaka wanafunzi wakiongezeka nao waongeze bomba 1. mi nadhani huduma za maji na umeme from day 1 ilitakiwa ziwe na uwezo wa kukidhi idadi ya mwisho na ziada.

ni project ya maana sana na nzuri ila utekelezaji wake unasiasa sana hata kwenye maamuzi ya kitaalam
 
wanamuonyesha maji ya choo yanavorudi chumbani..patamu hapo

Duuuuh ni baraaaaa sasa hiyo si ndio chuo kikubwa E&C africa au ????? au zilikuwa ni nguvu za si ha sa nini maana kwa hawa viongozi wetu hupenda sana political publicity

 
Katika pitapita zangu leo nimegundua ya kuwa......................all is not lost for UDOM........kuna habari njema ya ujio wa maji kibao.........................

<table id="Table_01" width="879" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="956"><tbody><tr><td id="Top_Mid_Column" bgcolor="#ffffff"><table id="tp_F4" width="599" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td valign="top"> Tatizo la maji Dodoma kubaki historia


na Danson Kaijage, Dodoma


</td> </tr> </tbody></table> </td> <td id="Right_Column" rowspan="2" style="background-repeat: repeat-x;" valign="top" width="140" align="center" background="images/grad2.gif" bgcolor="#ffffff">
amka2.gif
</td> </tr> <tr> <td id="Mid_Column"> <table id="F4" width="599" bgcolor="#ffffff" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="696"> <tbody><tr valign="top"> <td style="padding-left: 45px; padding-right: 45px;" valign="top"> MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) imesema pamoja na kuwepo ongezeko la watu mkoani hapa imedhamiria kuhakikisha inawapa wakazi wake huduma ya maji ya uhakika. Hayo yalibainishwa na Ofisa Habari wa Mamlaka hiyo Sebastian Warioba alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima mkoani hapa jana.
Warioba alisema pamoja na kuwepo kwa ongezeko la watu katika mji wa Dodoma, Duwasa inafanya kila jitihada ili kuhakikisha tatizo la upatikana wa maji katika jamii libaki historia.
Mbali na hilo Warioba alisema kwa sasa mamlaka hiyo inapambana na upotevu wa maji njiani kwa kuweka watu makini kwa ajili ya kuangalia mabomba yanayopasuka na kupoteza maji.
Hata hivyo alisema pamoja na kuwepo kwa changamoto mbalimbali zikiwemo za kuongezeka kwa watu lakini wameweza kufikisha huduma ya maji katika sehemu zilizokuwa hazifikiki kirahisi.
Maeneo hayo ambayo yameweza kusambaziwa maji ambayo hapo awali yalikuwa hayapati ni Nzuguni, Swaswa, Ilazo, Nkuhungu pamoja na maeneo ya Changombe ikiwa ni pamoja na upelekaji maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).
Alisema kutokana na huduma ya maji kupatikana kwa wakati kwa sasa Dodoma inajengeka kwa kasi kwani watu waliokuwa wakikwepa kuwekeza kutokana na tatizo la maji wamekuwa mstari wa mbele kujenga.
Aidha alisema taasisi zilizopo katika manispaa zimekuwa zikiendesha shughuli zao bila malalamiko yoyote yanayohusiana na matatizo ya maji kutokana na kuwepo kwa huduma hiyo.

</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
01_11_u0xrjx.jpg


Mbona PM mkono mmoja kama vile unazuia kitu? na mkono mwingine kama vile unazuia mate! au mie sifikirii vizuri?
 
Back
Top Bottom