Pinda,AG na kundi la wabunge wa CCM

kisururu

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
331
93
Jamani leo hii pinda kwa kivuli cha wabunge pamoja na AG amewaita baadhi ya viongozi wa TANESCO pale blue pearl na kuwaambia waanze kuilipa DOWANS.Huyu Pinda ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo hakuna cha utoto wa ukulima tena.

Jamani nchi hii inaelekea wapi?
 
nani alikwambi pinda yuko upande wetu

huyu ni mwizi na ni waziri mkuu kivuli
 
Jamani leo hii pinda kwa kivuli cha wabunge pamoja na AG amewaita baadhi ya viongozi wa TANESCO pale blue pearl na kuwaambia waanze kuilipa DOWANS.Huyu Pinda ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo hakuna cha utoto wa ukulima tena.

Jamani nchi hii inaelekea wapi?

Mbona story ina-hang?
Justify!
 
Jamani leo hii pinda kwa kivuli cha wabunge pamoja na AG amewaita baadhi ya viongozi wa TANESCO pale blue pearl na kuwaambia waanze kuilipa DOWANS.Huyu Pinda ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo hakuna cha utoto wa ukulima tena.

Jamani nchi hii inaelekea wapi?

Hii kama ni kweli, inakamilisha utabiri wangu ktk threads za awali kuhusu Dowans na matumizh mengine ya rasilimali za umma kuwa Pinda ni waziri mkuu mnafiki kuliko wote waliowahi kutokea hapa nchini, na utendaji wake ni haufikii hata robo ya lowassa au 20% ya mtu kama sokoine. pinda ni nyoka na serial keller wa uhai wa umma.
meza yake ndiyo meza ya mafisadi.
 
Kweli? Me shasema huyu anayejiita mtoto wa mkulima sidhani kama anaongelea ukulima niujuao mimi wa jembe la mkono!
 
Hapo me sina mchango mkuu!

umeona eeh? Huyu jamaa ni mnafiki wa kutupwa..mi nayafahamu maisha ya village yalivyo mbofu hasa kwa wakulima. Mkuu inafikia kipindi nakata ka-bavalia kangu nikikumbuka tu maisha ya porini naondoka kabisa sehemu hiyo..leo huyu mnafiki anapromo eti ooh miye mtoto wa mkulima!!?? Upuuzi mtupu..angeonekana mtoto wa mkulima angecharuka na kutoa kauli kavu dhidi ya wezi matapeli kina rosta na Lowasa..otherwise,anatia kichefuchefu..
 
hakuanza leo!!
Meremeta alisema ni suala linalohusu usalama wa taifa!!
EPA alisema wakikamatwa watatikisa nchi!!
VX aliyoidhinisha mwenyewe akaikataa wakati wenzie wanaitumia!
UDOM akienda na kugeuza bila hata kutoa tamko rasmi la seikali juu ya tatizo lililopo!
Kwa hili la Dowans angesema tofauti ningemshangaa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom