Pinda afyata mkia, mgomo wa madaktari

Kada Deya

Senior Member
Nov 8, 2011
152
47
Baada ya kupimana nguvu kwa wiki kadhaa, hatimaye pinda amefyata mkia na kuamua kuwatafuta madaktari ili aongee nao wakati mwanzoni aliwapuuza na kuwakejeli, kweli maji yapo shingoni mwa serikali ya jk
 
Back
Top Bottom