Pinda abeza msafara wake kuwa na viongoz wengi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
waziri mkuu Pinda amebeza kitendo cha Viongozi Kujumuika kwa wingi katika msafara wake ,hali inayopelekea kupgana vikumbo.
Amesema Anaitaji viongozi wachache Ili Nae ajimwage.

Wingi wa viongozi katika msafara ni kiashirio kuwa huwa hawafiki katika miradi hyo mpaka wamuone yeye amenda.
Source-tbc hbr
 
Back
Top Bottom