Pinda abanwa na wananchi; akwepa maswali yao!

Huyo Pinda Kapinda kweli kweli, mi ninashukuru hata alivowahi kuondoka maana mtu mwenyewe huwa hakawii kulia, ninavojua angebanwa zaidi na nguvu ya umma chozi lingemwagika, nazani wasaidizi wake walimuambia kuwa "mshua tusepe" kisha haribika. Mi ninajua tumekuwa tukiwachangia watu kupitia media mbalimbali kwa ajili ya matibabu. Labda km anaposema serikali inagharamia matibabu ya watu nje ya nchi anamaananisha sisi watz, lakini serikali km serikali watupe takwimu zao, ambazo nina wasiwasi zikawa zimechakachuliwa
 
siku za magamba zinakaribia kwisha,huyu PM naona ****** alichemka sana hapa kumchagua sijui nani alimshauri hana mvuto kwa wananchi,muongo kupitiliza,hana maamuzi ktk serikali,yupo yupo tu mradi siku ziende,mwisho wao magamba utakuwa mbaya sana nguvu ya umma iko njiani
 
Natamani iwapo watanzania wote wangekuwa na mwamko na mang'amuzi kama ya watu wa Mara. Lakini kwa sababu ya kukosa uelewa, watanzania wengi wanaendelea kila siku kudanganywa na wanasiasa uchwara wa CCM!
mkuu nakubaliana na wewe ila tatizo la hawa ndugu zetu ganja kwa wingi sana. lakini ipo poa.
pia waache kuwapiga/ua wake zao, kwani ukatili wao kwa wake zao unawapunguzia credit. hata mimi nikisikia watu wa mara wakifanya mambo kama haya wala sishangai naona kama ndo kama asili yao vile?
 
Back
Top Bottom