Pin uk

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Nahitaji msaada simu card yangu kuna mtu nilimpa cm yng bada ya kufanya mambo yake kaniludishia cm ikiwa tayari lain imejifunga.msaada
 
ni lazima uende kwa Customer Care wa sim card ya mtandao wako ndio watakusaidia....utawaeleza tu kilichotokea halafu wanakufungulia!
 
Ni mtandao gani? Kwa mfano kama ni airtel azima line nyingine ya airtel then piga customer care wapatie maelezo yako ya ile line iliojifunga watakuomba namba yake ya cmu then watakupa PUK na PIN zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom