pin code kwenye simu....

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
ghafla tu mwenzako unaeishi nae ndani anaweka pin code kwenye simu ni inakua nini maamuzi,uoga au ni kutaka privacy maana nashindwa kuelewa na hiyo pincode hampi mwenzie hivi inawezekana kweli kwa uhusiano ulio wazi.....
 
inawezekana kwa sababu simu ni ya mtu binafsi si ya kushare.....na ukitaka kutumia lazima uombe
 
Sio kwamba labda sababu mtu anaogopa kwamba labd anikishika ntakuta mambo ya ajabu humo....mana kutwa sim kibindoni
 
Hii safi sana maana cmu husababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.
Wewe unapekua pekua cmu ya mmeo ya nn?
Je na yeye akiwa anapekua pekua kipima joto chako anahesabu chupi ulizo vaa kwa siku hiyo kisha anazinusa kama kuna harufu ya nanihii utajisikiaje? Mambo ya cmu ya mtu wako achana nayo bana ile ni ya kwake na wewe unayo ya kwako
 
inawezekana kwa sababu simu ni ya mtu binafsi si ya kushare.....na ukitaka kutumia lazima uombe

Hapo mama umenena mm cmu yangu hagusi n'tu nikiweka kwa meza nikirudi nikikuta ipo katika hali nisiyo ielewa lazima mtu achezee kichapo mambo mengine ni privacy bana kwenye cmu, huwezi ukawa unapekua pekua tu kisha uone siri za jeshi uniletee matatizo.
 
Mali binafsi hiyo mama..Mbona kwenye mahusiano ya kawaida au ndoa wapo wale ambao pia wanaweka hiyo "pin code" mpaka kwenye "nyeti zao" ili asigushwe pasipo hiyari zao?

simu ya mwenzio ya nini tena kama unamwamini?..Pin code ni usalama zaidi.
 
Hii safi sana maana cmu husababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.
Wewe unapekua pekua cmu ya mmeo ya nn?
Je na yeye akiwa anapekua pekua kipima joto chako anahesabu chupi ulizo vaa kwa siku hiyo kisha anazinusa kama kuna harufu ya nanihii utajisikiaje? Mambo ya cmu ya mtu wako achana nayo bana ile ni ya kwake na wewe unayo ya kwako

hizi fone jamani,ukweli ni kwamba hutakiwi kupekuwa fone ya mwenzio lakini ni wewe ama sio kujiamni ni nini ma pin kila kona?
 
Anataka achungulie siri za jeshi huyo

inapotokea wewe huna time na yake lakini yeye ndio kazi yake kupekua yako inakuwaje?.....mana nakerekaga sana, ukitoka kidogo tu unakuta cmu imepekuliwa mpaka bac.
 
Hapo ni wazi kwamba something is going on underground, mojawapo ya mambo ya msingi kwa watu wapendanao tena wanaoishi pamoja ni kuwa wawazi. Ifikie hatua hata kupokeleana simu au kujibiana messages au hata kama umepinda unahamisha salio.
 
Sio kwamba labda sababu mtu anaogopa kwamba labd anikishika ntakuta mambo ya ajabu humo....mana kutwa sim kibindoni

Pin code for security purpose labda kama kuna mtu wa usalama wa taifa atusaidie kwa hili simu zao wanazihandle vipi na wapenzi wao lakini kama mtu unaweza kumpa kadi ya benki na password akaweze kumaliza matatizo why not phone!!!!!??????

Katika suala la simu inakuwa ngumu kwa sababu kuna mechi (affairs) za mchangani zinazoendelea.
 
Mie sikubaliani nayo anamuwekea nani hiyo Pin code kama sio kutokujiamini huko..
Mwili mmoja kila kitu kimoja maisha saaaaaaaaaafi katika ndoa ..
Hivi inakuwa for security purpose at home?
Security purpose kariakoo?
Security purpose ofisini au?
 
FirstLady kwahiyo inabidi akifika nyumbani aitoe pin code for investigation au?
 
wasio waaminifu utawajua tu.......code ya nini wakati huyo ni mumeo/mkeo? acha awe free nayo na ikiwezekana apokee simu yako na kujibu meseji zako pindi upo bafuni ama unapata usingizi wa mchana wa masaa mawili......wacha ajibu kuwa mzee amepumzika kidogo akiamka nitamwambia awasiliane nawe. na kama ni ujumbe muhimu na wa haraka itabidi akuamshe.....SASA HAPO NINI SHAKA....?
 
FirstLady kwahiyo inabidi akifika nyumbani aitoe pin code for investigation au?

No siwezi kufanya Investigation kwenye simu ya mwenza wangu lakini bado nasisitiza Pin Code ya nini.. Kama anasoma hapa ni vyema aujue msimamo wangu kuhusiana na pin code :behindsofa:
WALE WAKWALE UTAWAJUA TU KILA KITU WANAFANYA SIRI KUMBE NDANI YAKE WAMEWEKA MAZITO
HIVI MJ1 YUKO WAPI JAMANI
MY DADA KAMA UNANISIKIA POPOTE ULIPO NAKUMISS
 
Hii safi sana maana cmu husababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.
Wewe unapekua pekua cmu ya mmeo ya nn?
Je na yeye akiwa anapekua pekua kipima joto chako anahesabu chupi ulizo vaa kwa siku hiyo kisha anazinusa kama kuna harufu ya nanihii utajisikiaje? Mambo ya cmu ya mtu wako achana nayo bana ile ni ya kwake na wewe unayo ya kwako

Umenikumbusha zamani sana pale Ubungo Flats mzee mmoja alikuwa akitoka kazini pale Urafiki na akikuta mkewe kafua pant swali la kwanza nani kaichafua wakati mie nilikuwa kazini? na kuanzia hapo ilikuwa ni kichapo kwa kwenda mbele,
 
ukiona PIN CODE wala usiwaze jua tuu tayar ufisadi wa mapenzi umeanza na ukitaka moto uwake na we weka PNI CODE, ndio utajua mkuki kwa nguruwe............mi huwa sipotezagi muda nikiona pin tu nami naweka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom