pin:27253E1F

Hapa hatunaga hizo ndugu, hizo zimezoeleka facebook, hapa unaleta hoja inajadiliwa.
 
Add me people

landfill_site.jpg
 
King'ast aisee umenifurahisha sijui ni wapi nilisikia huo wimbo. Ni wa nani na wa wapi. Una sound kama south african!
 
Wapiii the finest!
Mtoa pin, jidediketie wimbo... Don't call my number, we will socialise on bbm! I don't want ur number ahhhh, we will socialise mu fesibuku,lol

Huu wimbo ni hilarious...mara ya kwanza kuusikia nilicheka mwenyewe kama mwehu
 
JS and Shapu, a few hours ago nilikuwa nauimba na kucheza nao kwenye tv. Yaani siku hizi hata ukikutana na jitu on business, linakuuliza bbm pin ama fb name! Wanadhani kila mtu ana akili matope ya kujianika kwenye social networks! Kha!
Shapu, ukiona wanavyoucheza utapenda,lol
 
Back
Top Bottom