Pima joto.....

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,845
....nawaamkua wakuu wa jukwaa hili. Nimeulizwa, nami niwauliza. Ati?

1. Kumfumania mume/mke....au
2. Unajua mume/mke anacheat ila hujabahatika kumkamata.

Lipi linauma zaidi?
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1349495314984.jpg
    uploadfromtaptalk1349495314984.jpg
    16.2 KB · Views: 147
namba moja ni 'the murderer of love'
ni afadhali uhisi tu japo nayo huleta kiwewe fulani kuliko kufumania kwa macho.

Ila ukishuhudia kwa macho, unaweza pata stroke hasa pale moyo unapokuwa umefika.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuhisi ni kujitengenezea ugonjwa wa moyo na kukonda.., bora nimfumanie nipate mshtuko mara moja kisha maisha yaendelee...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nambari UNO!!!

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
ulishawahi fumania?

Au mkuta 'live' umpendaye kabanwa na mtu mwingine??

Ni nightmare, bora uhisi yakikuchosha unampiga chini tu.

Tatizo la kufumania effect yake hata ukiachana na huyo inakuwa ya muda mrefu sana.

Unashindwa amini tena kama kuna mwaminifu.

Unaweza kupata uchizi wa ghafla na kama ulivyosema athari yake inaweza kabisa kuwa ni ya muda mrefu.

Unaweza ukapata 'temporary insanity' ndio mtu unakuta umejitia kwenye mikosi ya kuua.

Imagine unamkuta hapo halafu una bastola, unaweza jikuta ushaharibu mambo.

Sitaki kufumania aisee, sina kifua hicho, naweza ishi ICU kwa muda kadhaa.
Unaweza kupata uchizi wa ghafla na kama ulivyosema athari yake inaweza kabisa kuwa ni ya muda mrefu.
 
namba moja ni 'the murderer of love'
bora uhisi tu japo nayo huleta kiwewe fulani.

Ila ukishuhudia kwa macho, unaweza pata stroke hasa pale moyo unapokuwa umefika.

Lol, hujanijibu banaa....
Lipi lina unafuu nawe? :D
 
nambari UNO!!!

....haha..."If i dont see it, it is not there!"

Asante kaka, ngoja tuendelee kuchambua penye "wengi wape..."
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Mbu..."if it doesn't fit you must acquit"...utabaki nadhana tu lakini kama huna ushahidi muhusika hana kesi ya kujibu lol!

....haha..."If i dont see it, it is not there!"

Asante kaka, ngoja tuendelee kuchambua penye "wengi wape..."
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukapata 'temporary insanity' ndio mtu unakuta umejitia kwenye mikosi ya kuua.

Imagine unamkuta hapo halafu una bastola, unaweza jikuta ushaharibu mambo.

Sitaki kufumania aisee, sina kifua hicho, naweza ishi ICU kwa muda kadhaa.

Hujawahi experience "chupu chupu" za kufumania lakini mitego haikamati?

sikiliza lyrics za wimbo wa PRESHA. Hafsa Kazinja ft Banana Zorro.
 
Unaweza kupata uchizi wa ghafla na kama ulivyosema athari yake inaweza kabisa kuwa ni ya muda mrefu.

Kaka....

Prolonged pains za kuwa cheated bila "ushahidi kamili" athari zake pia mnh!

Yaani ushamkuta mume/mke/mpenzi na -'chupi chafu,' condoms, sms za hasara hasara, hashindi nyumbani, (unapouliza, anajitetea mpaka unakosa hoja!).....akishinda nyumbani ugomvi....LAKINI...hujawahi mfuma Live! usiombee kaka....au?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
bora chupu chupu inakupa 'benefit of doubt'

lakini unamkuta 'wako' live jamaa kajipinda, binti analia na miguno yake ya kimahabati? Asikwambie mtu.

Kumshuhudia umpendaye kifuani pa mtu mwingine ni dhahama kwa kweli, dhahama kubwa mno.

Inaua maisha yako ya kimapenzi kabisa hata kama unaachana naye, ile picha inakuwa inakuijia kama movie hivi.

Hujawahi experience "chupu chupu" za kufumania lakini mitego haikamati?

sikiliza lyrics za wimbo wa PRESHA. Hafsa Kazinja ft Banana Zorro.
 
Mimi ni bora nifumanie kabisa nijue moja kuliko kuhisi maana ni ugonjwa mbaya sana ambao unaua taratibu na maumivu yake hayavumiliki.
Ni sawa sawa na mateka ambaye anapewa mateso makali kila siku lakini hauwawi.
 
Nini bastola, unaweza kuua mtu kwa fork ya kulia chakula ama kisu cha ugali. Yaani unamtoboa anakuwa kama net ya bush kwa msaada wa watu wa marikani.
Japo kuna mtu unamfumania kwa ushahidi beyond reasonable doubt, hiyo nayo sijui tuite kufumania tu?
JIBU:kufumania live inauma zaidi and it is traumatising. Haina tafauti na kushuhudia kifo say cha maji, huwezi kuogelea tena for years.
shkamoo mwalimu
Unaweza ukapata 'temporary insanity' ndio mtu unakuta umejitia kwenye mikosi ya kuua.

Imagine unamkuta hapo halafu una bastola, unaweza jikuta ushaharibu mambo.

Sitaki kufumania aisee, sina kifua hicho, naweza ishi ICU kwa muda kadhaa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hujawahi experience "chupu chupu" za kufumania lakini mitego haikamati?

sikiliza lyrics za wimbo wa PRESHA. Hafsa Kazinja ft Banana Zorro.

kinachokutia wazimu ni kujiajiri kama muwindaji wa kujitegemea. Why tega? It works better kuwa positive tu, na inamfanya mwenza kurelax. Kama ana ubaya wala hatumii nguvu kuuficha. Hapo kuna siku ushahidi unamwagika miguuni kwako cpwaaaaaaaa, nae ukimcomfront anabaki na kigugumizi and you run the show.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
......Hilo nalo neno! Unamkuta mtu mzima anaanza kufanya "timing" ili afumanie.

Kaka....

Prolonged pains za kuwa cheated bila "ushahidi kamili" athari zake pia mnh!

Yaani ushamkuta mume/mke/mpenzi na -'chupi chafu,' condoms, sms za hasara hasara, hashindi nyumbani, (unapouliza, anajitetea mpaka unakosa hoja!).....akishinda nyumbani ugomvi....LAKINI...hujawahi mfuma Live! usiombee kaka....au?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
......Hilo nalo neno! Unamkuta mtu mzima anaanza kufanya "timing" ili afumanie.

Halafu unakuta timing yake haina manufaa kwasababu alichokuwa anadhan mwenzi wake anafanya kumbe wala hata hafanyi...# inakeraaajeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
live inauma bana.

Unamkuta ameshashughulika nafasi kubwa na kijasho chembamba kinamtoka, keshalegezwa pale hajiwezi lol

shuka zote wameshaangusha chini, tena unakuta labda na nguo zao zimatapakaa sakafuni.

Shati liko karibu na mlango wa kuingia kwenye chumba, suruali ya mkaka na sketi ya mdada iko hapo, blauzi na bra viko half way kutoka mlangoni kwenda kwenye kitanda, vijiguo vilivyobaki viko vinaning'nia kwenye ncha ya kitanda kama vinataka kuanguka.

Hii inaonesha walivyokuwa wametingwa (how they wanted each other) hawakuwa na muda hata wa kuweka nguo zao vizuri.

no no no, acha nihisi tu.
Nini bastola, unaweza kuua mtu kwa fork ya kulia chakula ama kisu cha ugali. Yaani unamtoboa anakuwa kama net ya bush kwa msaada wa watu wa marikani.
Japo kuna mtu unamfumania kwa ushahidi beyond reasonable doubt, hiyo nayo sijui tuite kufumania tu?
JIBU:kufumania live inauma zaidi
shkamoo mwalimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom