Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pilipili kwa mama mjamzito inaathari gani

Discussion in 'JF Doctor' started by sw33tboy, Sep 1, 2011.

 1. s

  sw33tboy Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pilipili inaathari gani kwa mama mjamzito mke wangu anaujauzito lakini anapenda sana kula chakula chenye pilipili
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,200
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  hiyo ndo test yenyewe bana ila aweke kidogo
   
 3. unlucky

  unlucky JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  pilipili siyo nzuri asile sana kwa mbali itamueffect mtoto atakuwa na macho manjano akizaliwa na pia rashes
   
 4. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  macho ya mtoto
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ........unanikumbusha last year majira kama haya, nilikuwa na kitumbo na pilipili nilikuwa nakula balaa........... tena nilikuwa napenda ile mbichi kabisa naitafuna.....nikaja kupata bouncing baby boy, na sasa yupo 9 months hana tatizo lolote. Hivyo naweza sema mwache bidada ale pilipili haina tatizo lolote.
   
 6. B

  Benezeth New Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna madhara mama mjamzito kula pilipili huashilia kuwa naukosefu wa mahitaji ya mwili k.m madini ambapo hulazimika kula pilipili.Ni vyema mama mjamzito kutumia mlo kamili ili aepukane na madhara ya baadaye.
   
 7. N

  Natalie Senior Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nilisikia, mama mjamzito akila pilipili sana, mtoto anakuwa na macho yaliyovimba.
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,730
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  haya, waliokwisha jifungua, na madaktari wa watoto na wakunga waliomo jamvini watupe jibu kamili.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,045
  Likes Received: 1,240
  Trophy Points: 280
  pilipili ni kama stimulant nadhani. kama mjamzito hana high blood pressure inayojulikana sidhani kama pilipili ina tatizo. kama ana pressure inaweza kuwa elevated kidogo.
   
Loading...