Pilipili ina madhara yoyote mwilini?

hilo ndio la msingi. Ngoja nizipande hadi ile safari yako ya mpwapwa ikifika na zenyewe zitakuwa zishakua.
usisumbuke hivyo mpenzi mi nnazo zile za Malawi wenyewe wanaziita piripiri nakusubiri weekend ijayo and am cooking dear.
 
Faida ya kula pilipili kwanza ina virutubisho,pili huongeza mapigo ya moyo kwa muda hii huipa mazoezi,tatu huongeza kasi ya kuzunguka damu mwilini,nne kama alivyosema mdau hapo juu hukueleza matatizo mwilini ukiona mdomo,koo,tumbo,haja kubwa/ndogo zinawaka ujue hapo kuna tatizo na sio pilipili,nne husaidia kuleta hamu ya kula chakula na pia hamu ya kujamiiana.[/QUOTE]duh! hiyo red kubwa kuliko.
 
Eh! jamani hiyo ya mwisho hiyo mh!
 
kuna mdau hapa alisema kuwa wale walaji wazuri wa pilipili huwa wanaweka feni za kuwapepea makalioni vyooni kwao na mwingine akaongeza kuwa wengine wanabeba barafu chooni.
 
pilipili ndo mpango mzima ila naskia walio weng wanaotumia vileo ndo wenyewe kwa pilipili cjui kuna mahusiano gani kati ya pilipil na pombe
 
Nimekuwa nikisikia na hata kuona watu wenye dalili za madhara yanayotajwa kuwa yamesababishwa na utumiaji wa sukari kwa wingi, lakini pia utumiaji wa chumvi kupita kiasi au chumvi isiyo na madini joto inatajwa kuleta madhara fulani kiafya.

Sasa katika matumizi ya PiliPili, sijawahi kusikia madhara yake kiafya bali vile tu inasemekana kuwa ukizidisha matumizi yake basi wakati wa kwenda HAJA utakiona cha 'Moto.

Kwa hivyo basi naomba kujua kama kuna madhara yoyote(kiafya) yanayoweza kusababishwa na matumizi ya Pilipili kwa wingi?
 
Mie mtafunaji wa pilipili mzuri kwa muda mrefu tu, chakula hakipandi bila kuwepo pilipili hata kiwe kitamu vipi naona kimepooza. Sijaona madhara yoyote kiafya kwa kula pilipili.

Mbona nliskia pilipili ina faida mwilini?

Kuna Uzi upo humu nafkiri wa Dr Mzizi mkavu.

Kuwa na madhara sijaskia, labda ukiila kwa wingi inafanzisha joto tumboni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom