Pikpiki za bajaji zipelekeni Ikulu na Dodoma wakapande wao, hatuzihitaji

Mwanaitelejensi

Senior Member
Jan 30, 2011
104
2
Hizi pikipiki zinaletwa kuja kuharibu Mimba za wake zetu kwa kama unampenda mke wako ni bora ukakodi gari impeleke Hosptali kuliko kupanda hizo pikpiki zitaharibu mimba za wake zetu. Zifanyiwe Test huko Ikulu kwa kuwapakiza wake za Mafisadi Mawaziri na FIsadi Kikwete.

Hii ina maanisha ni jinsi gani Mafisadi wanavyozidi kutudharau badala ya kutuletea Ambulance na kutujazia madawa na kutupunguzia kero huko Hospitalini wao wanatuongezea Matatizo ya kuja kutopotezea watoto wetu. wakati wao wanapeana Ma-VX Bungeni

Mafruku mke wangu au ndugu yangu kupanda hizo Stupid Pikipiki, wampelekee Mkwe wa Fisadi Kikwete akapande. Pumbavu yao
 
Back
Top Bottom