Pikipiki zilizokodiwa na pesa za CCM Makao Makuu kumpokea Nape Kigoma

Utasikia "nape amepokelewa kwa kishindo", kumbe watu wenyewe ni wakukodi...

Hata hivyo ni wachache sana kigoma ni cdm hao waliokodiwa wako kibiashara zaidi na siyo kisiasa na ndiyo maana hat bendera wengine hawana wanaendea shida ya pesa na siyo wanachama wa magamba
 
Kama hiyo picha wanayocheza wapo Kigoma basi wamepoteza maana jamaa hata jezi za chama hawana ingekuwa Rufiji wangekuwa kama mahindi shambani
 
Mpaka sasa hawajatokea kina Ritz, Tume ya Katiba and co.?
Kweli ccm wameficha vichwa kwenye mashina ya karanga, piga picha makalio yanakuwa wapi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom