PIKI PIKI INAUZWA {SanLg mpya}

Mc Kihiga

Member
Mar 17, 2011
36
3
Tafadhari rejea tena katika topic tajwa hapo juu. Ninauza piki piki yangu aina: SanLg toleo la kwanza iko katika mazingira na hali nzuri. Imetumika Miezi miwili na nusu tu matumizi ya kawainda.

Kumbuka bei ni maelewano kati yangu na wewe {Mteja}.

Kwa mawasiliano zaidi zingatia: contact; +255 787 440 809.
E-mail : kihiga@live.com
Contry: Tanzania
City; Dar-Es-Salaam

Many thanks,
 
Toleo la awali na umetumia miezi 2 mmmh

Tuwekee picha basi mkuu.
 
Kwani ukiweka bei utaonekana na wewe ni mchina? Weka bei vinginevyo tangazo lako litakuwa ni NOISE
 
Weka bei ya kuanzia man, hatuwezi kuanza majadiliano ya bei hewani!
 
Good advice,
Tafadhari wana "jf" samahani kwa usubufu wa kutoweka bei kwa mujibu wa madai kumbuka taarifa ya uuzaji ni tangazo. Lakini makubaliano ni mjadala kati ya muuzaji na mnunuzi si uwanjani kama hapa kwa maelezo zaidi tadhari rejea mawasiliano.

Many thanks,

Mc!
 
Weka picha basi
 
Back
Top Bottom