Piga UA, Rais AJAYE....

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
Atatoka Kaskazini mwa Tanzania, nimetathini na kutazama kwa makini na hali halisi iliyopo. Nafasi itapatikana ya walio WACHAFU kusafishwa ili WANG'AE na KUMETA. WASAFI Watachafuliwa ili wanuke uvundo... Kaskazini itaimbwa na kupandishwa kileleni na mwisho wa siku yuleyule aliyekuwa akiimbwa kwa maovu yake ATANYANYULIWA NA KUPAMBWA KILA AINA YA MAUA... ATAFAA!!!

Msishangae, niliwapa tathmini ya wapi tunakwenda baada ya uchaguzi (yameanza kutimia) sasa nimewapa hilo nalo mkae nalo na kutafakari (ni fumbo linaloeleweka)
 
Si useme moja kwa moja Edward Ngoyai Lowasa?!!
 
Tatizo la hilo fumbo ni kwamba limekaa kama utabiri wa marehemu Sheikh Yahya.
soma alama za nyakati kiongozi....... utapata kuona mengi wala hutofananisha utabiri na maono!!!

Mkuu kasikazini wako wengi; Dr. Slaa naye si anatoka kasikazi au yeye si mchafu kwa hiyo hahitaji kusafishwa!!
Mkuu mkuu.... walio safi huchafuliwa na walio wachafu husafishwa!!
wote wanatoka kaskazini, nimng'aro pekee utakaoamua.... kazi za kupigana misasa na madodoki zimeshaanza
Usione ajabu, walikuwa saba chaguzi zilizopita uchaguzi ujao wakabaki wanaotakiwa kur zisiharibike tena!!!!!!
 
soma alama za nyakati kiongozi....... utapata kuona mengi wala hutofananisha utabiri na maono!!!

Mkuu mkuu.... walio safi huchafuliwa na walio wachafu husafishwa!!
wote wanatoka kaskazini, nimng'aro pekee utakaoamua.... kazi za kupigana misasa na madodoki zimeshaanza
Usione ajabu, walikuwa saba chaguzi zilizopita uchaguzi ujao wakabaki wanaotakiwa kur zisiharibike tena!!!!!!

Mkuu mbona unanena kana kwamba umepandisha roho mtakatifu? Unanena kwa lugha ambayo hakuna mtafasiri.
 
We ni Campaign Manager wake au???

Back
Top Bottom