Piga, ua garagaza. Lazima niwe Rais wa awamu ya tano

Basi uwe rais wa wanywa Dengerua pale Kigogo Landa Bar!.

Ohoo, we umepajuaje pale Landa Bar? Au ndo wewe ulitapika ugali na mchicha siku ile baada ya kulewa sana. Halafu siku hizi sikuoni mwenzetu. Au umepanda daraja na kuhamia kwenye vyupa?
 
Ohoo, we umepajuaje pale Landa Bar? Au ndo wewe ulitapika ugali na mchicha siku ile baada ya kulewa sana. Halafu siku hizi sikuoni mwenzetu. Au umepanda daraja na kuhamia kwenye vyupa?

Siku hizi nipo kwenye payroll ya R.A kupigia debe Dowans walipwe. Sinywi tena mataputapu. Ndio maana hatuonani pale maeneo ya Landa bar!. Kama nawe unataka sema nikuingize kundini.
 
Back
Top Bottom