piga simu dunia nzima mpaka dk 25 buree

kwa mara ya kwanza nimempgia demu wangu wa uk! Maana kama sio skype, basi inabidi anipgie. Leo kawa suprised...Angejua hahahaha
 
Hizo dakika 25 ni kila baada ya muda gani ?

Dk 25 sio nchi zote i think marekan na canada na ni mara 1 tu wakikupa trial ukiimaliza basi ila kama una namba nyingi za simu utapiga mara nyingi. Tumia hata ya mama dada kaka mpaka umalize namba zote
 
mkuu imekubali nimepiga simu home rockcity to my bro! vp unamaujanja mengine, ur so good
 
Back
Top Bottom