Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010

hata huu ujumbe ameuleta online, anawataka wanaotumia technolojia hii wapige kura za zao, waonyeshe nani wataMpigia Kura, sasa kama wanaosoma huu ujumbe hapa JF hawana email hilo ni swala lingine Mkuu.

Mwanakijiji lakini Mbona Davutwa amesahaulika , huyu ni mgopmbea kupitia UPDP, pia Kuga Mziray

Davutwa, yuko hoi kitandani anaumwa, huyu ndiye aliyetabiriwa na sheikh Yahya kuwa kuna mgombea urais ataondoka.
 
Kura ni siri yangu bwana. nitahakikishaje usalama wangu?

Usiogope Remmy, ni kura za MAONI tu. kwa maana nyingine tunataka maoni yako ni yupi unaona anafaa kuwa rais wako kati ya hao?
 
RFA na gazeti la majira nao wanaendesha online polls. Hadi sasa kote Dr Slaa anaongoza.
Chagua Dr Slaa Chagua Maendeleo. Pamoja tutashinda.
 
WanaJF,
Mbona mnakuwa na woga usio na maana?, tutafika kweli kwa mwendo huu?. Ni sisi tunategemewa katika kuikomboa Tanzania toka kwenye makucha ya unyonyaji ya CCM, leo hii tunakuwa waoga hivi?.
Angalieni wana Tarime walivyoweza kuongea huru kwa kutaja majina yao na kutoa picha zao bila ya woga, sasa sisi tuogope nini kutoa maoni yetu?
Kusema kwamba huitaki CCM ama huitaki Chadema ni kosa katika dunia ya leo iliyojaa uhuru wa habari?.
Dr Slaa, Mbowe, Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na viongozi wengine wa Chadema nao wangekuwa na woga kama huu tungefika hapa tulipofika?.
 
Napigisha kura ya maoni kuhusu mwelekeo wa wapiga kura. Naomba wale TU waliojiandikisha kupiga kura na wameshaamua kuwa watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010 kujibu. Tafadhali ili jibu mara moja kwa kuandika jina la chaguo lako kwenye sehemu ya "Subject" la email yako. Usiandike kwenye ujumbe. Kura itafungwa Jumapili Oktoba 3, 2010

SWALI: Baada ya kufuatilia kampeni za Urais zinazoendelea nchini, ni nani atakuwa chaguo lako kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

  • Mutamwega Mugahywa
  • Prof. Ibrahim Lipumba
  • Dr. Jakaya Kikwete
  • Hashim Rungwe
  • Dr. Wilbrod Slaa

TUMA JIBU LAKO KWA EMAIL YANGU HAPA CHINI. Ni majibu yatakayopatikana ndani ya siku hizi tatu TU ndiyo yatakayohesabiwa.

Dr. Wilbrod Slaa
 
Dr Wilbrod Slaa

Nimepiga kura tayari hata kama kuna mawenge nyuma yake. Kuficha dhimira yangu kwa mtu ninaeamini ni mtu makini na thabiti kwa nchi yetu si kitendo cha kiungwana ni fursa kwa ye yote kutujua bila unafiki. Wakristo wanasemaga kuwa injili itatangazwa hata kwa hila. Nimepiga kura hata kama kuna hila
 
Napigisha kura ya maoni kuhusu mwelekeo wa wapiga kura. Naomba wale TU waliojiandikisha kupiga kura na wameshaamua kuwa watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010 kujibu. Tafadhali ili jibu mara moja kwa kuandika jina la chaguo lako kwenye sehemu ya "Subject" la email yako. Usiandike kwenye ujumbe. Kura itafungwa Jumapili Oktoba 3, 2010

SWALI: Baada ya kufuatilia kampeni za Urais zinazoendelea nchini, ni nani atakuwa chaguo lako kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mwanakijiji, please do go this low.
  • Mutamwega Mugahywa
  • Prof. Ibrahim Lipumba
  • Dr. Jakaya Kikwete
  • Hashim Rungwe
  • Dr. Wilbrod Slaa
TUMA JIBU LAKO KWA EMAIL YANGU HAPA CHINI. Ni majibu yatakayopatikana ndani ya siku hizi tatu TU ndiyo yatakayohesabiwa.

Kura za maoni za kweli lazima zipigwe na watu from defined population na ziwe random and blind, kama hujalifanya hili ni bora tu ubakie kwenye fani yako...hupotezi chochote. Cha ajabu mkuu baada ya watu kutoa critique zao wewe unasema kwamba sasa unajuwa kwanini mafisadi wanashinda. Kwani lengo la kura ulizotaka kupigisha ni kuwafanya mafisadi washishinde? So you pretty much knew the results?....Please spare your integrity and diginity in JF.
 
Mimi nasubiri matokeo leo tarehe 03/10. Vinginevyo utakuwa na matokeo uliyoyategemea ambayo ndiyo yalikuwa kigezo cha kutangaza au kutotangaza.

Hakuna kisingizio maana si wote ulitegemea wapige, huenda hawajiandikisha au hawajaamua au hawajaridhika na mfumo wako wa upigaji kura wa kuandika email na wewe tena jina liwekwe mahala pa kichwa cha habari!
 
MMK, unataka kutu spy nini? nadhani hizo kura zitapingwa na wanafamilia yako tu.... Na subiria kwa taswiswi sana matokeo hayo ya kura za email
PM hairusiwi kwenye ID hii, siko hapa kutafuta urafiki niko kikazi zaidi ,0ctober /31/2010....Trace my IP Address for mo Infor!
MGANYIZI

kuna wakati huwa unafikiria na kuna wakati najisikia kama upo upo kama wale jamaa zertu wanaosemaga unanijia mimi ni nani? mimi ni usama wa taifa.kumbe anakaa kwa shemeji yake, mme wa dada yake.
 
Ndugu, Angalia na matusi yako haya! leo nina upako ndani ya nafasi yangu hivyo sitaki kuuchafua.....Bw awe nawe!
 
I will vote for Jakaya this year (2010) japokuwa nimechelewa kuvote hapa jf for him. Na huu ni mfano tu wa watu wengi waliowapiga kura kwani hawaijui hata kama kuna hii forum. Babu, bibi, mama, baba na ndugu zako wanaijua? jibu unalo. Ila pia hii si nzuri kwani hawa wapiga kuwa walio nje na madenti ambao hata mwaka huu hawanauhakika wakupiga kura unaweza kuja kutuletea matatizo kwani matokeo kalisi yatakapotoka watu hawataamini na wanaweza leta shida baada ya JK kutangazwa mshindi. kwani wengi hapa JF ni either wapo nje ya nchi au ni wanafunzi ambao wanaishi maisha ya kuhamahama kwahiyo hata uhakika wa hiyo kura haupo. Slaa akijiadress vizuri na akatoka kwenye hiyo sura ya uchurch/christ urgent anaoonekana nao by 2015 akigombea anaweza pata kura yangu, but now no PLEASE.
 
Back
Top Bottom