Piga kura, piga kura, piga kura, piga kura!, piga kura!,.........Miss chitchat sep NUSU FAINAL

Mkuu unaleta matani wakati watu tupo serious?. taja mtu kutoka kila kundi vinginevyo unakua umeharibu kura. ndo maana umeona hapa Paka Mweusi na mwezie Arabela wameharibu kula zao kwa kutaja watu kutoka kundi moja. waache wala usiwastue. mia

mh sisi hatujaharibu tupo makini
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ruhazwe JR unaona ulivyo changanya watu? wanashindwa kujua kundi liko wapi?. edit thread yako bana. sasa hivi watu tushachangamsha ubongo so hatuoni kabisa. au wewe unaonaje?. karibu tunywe!. mia
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na humu kuna akina lundenga??? Na wewe unawafanyia kale kamchezo hawa dada zetu eeh??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu Ruhazwe JR unaona ulivyo changanya watu? wanashindwa kujua kundi liko wapi?. edit thread yako bana. sasa hivi watu tushachangamsha ubongo so hatuoni kabisa. au wewe unaonaje?. karibu tunywe!. mia

Hata haeleweki.
Ruhazwe PANGA MAGROUP VIZURI BWANA.
Mambo si mambo.
KAMA HUWEZI UZA HISA KWA WENGINE.
 
Last edited by a moderator:
my huz C6 naomba kura yako, my sis sweetlady na wiselady kura zenu ni muhimu kwangu. bestfriend Erickb52 na Saint Ivuga kura zenu zinahitajika hapa. my parents watu8 na Mearkron msinisahau mwanenu. shemeji zangu wote wakiongozwa na Judgement, Vin Diesel, Kaizer naomba kura zenu. mwisho wana chit chat wote wenye mapenzi mema naombeni kura zenu u u u u!!!!
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom