Piga kura linda kura

Hiyo ni njema na ni kwa utekelezaji wa slogan hiyo kila mpiga kura na mgombea atapata haki ya na si vinginevyo.
 
arusha tunaweza,meru tukawalindia kikaeleweka sasa tunakuja kuafundisha wa mikoani

Kweli mdigo, watu wanaweza wasijue, Arusha imeplay role kubwa sana Meru, nadhani watu wa Arusha wapelekwe kwenye uchaguzi wa Segerea
 
Piga kura usogee hatua 100 kutoka kituo cha kura, hesabu hatua mbili weka kambi.Linda Kura
 
' piga kura linda kura'
fungua thermos,vunja hotpot,kimbiza magari.
Usiogope bomu!polisi wako upande wetu!
 
Imekaa vzr sn kuelekea 2015 PIGA KURA LINDA KURA. Mafisadi wameshachemka mbaya yaani hawana Sera zaidi ya MATUSI. Km chama tuweke mikakati ili pindi itakapoanza maboresho ya daftari la mpiga kura tuwahamasishe wananchi hasa vijana wakajiandikishe na huo ndo mtaji wetu mkubwa mno 2015. Conglats CDM (M4C)........
 
Hii lowasa,malisa wanaijua vizury....lowasa alitaka kuleta ujeuri wa kukataa kupekuliwa na peoples ,,wakashusha vioo vya gari yake,,baadae akajua hawatanii ...akatoka nduki
 
Kama ccm wenyewe wanaibiana na kutoaminiana ktk kura,CDM msiwape mwanya hawa wanatisha

piga kura linda kura 2015 peoplezzzzz power
 
Back
Top Bottom