piga kura kwa charminglady awe miss chitchat

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wana chitchat wenzangu naomba kura zenu kwa mrembo @charminglady katika kinyanganyiro cha miss chichat october

Nenda kapige kura kwenye thread ya kupigia kura iliyo anzishwa na Lundenga wa CC
@Ruhazwe jr
Ni
@charminglady tu,....hakuna zaidi yake
 
umepata kura yangu ngoja nikapige
 
huyu msichana alitishia kuondoka jf eti kisa wavula wanamfuatafuata. Na kisababishi alikuwa ni wewe uliyekuwa unamuanzishia thread za kumtongoza hadi akakushushua. sasa nashangaa unavyo jikomba komba kwake. yeye aondoke tu si alishaaga jf?. unataka atokomee na taji letu?. kura tunampa madame B anaye kuwa chit chat muda wote. mia
 
daaahh! .... aisee umenipa za uso,lakini mapenzi kwangu kwa charminglady hayatakoma.Naomba tuyaweke kando hayo yote uende ukampigie kura,mambo mengine tutayajadili baadaye nipo chini ya miguu yako
 
Last edited by a moderator:
Figanigga......hizi kampeni za kuchafuliana itamwondoa miss wetu madarakani...uliza lema ooohh...
 
Back
Top Bottom