Piga kura kuhusiana na TBC

Huyu Mkurugenzi Bwana Mshana Hata Ajui Huo Mshahara wake wa tsh 15,000,000 ni kodi zetu wote bila kujali itikadi ya chama chochote!! Shame on Him!!
 
Andika yes or no acha siasa kenge wr, mi no

Utoto wakati mwingine ni shida......bado nataka afafanue ''Kuwa na imani" na TBC katika lipi?......kumbuka humu ndani ''WAFIKIRIKA'' ni wengi hivyo hatukurupuki tu kuchangia hoja Kitoto toto......

MY WORD IS MY BOND......
 
Kama bado unaimani na Tbc reply neno YES kama huna imani na Tbc reply neno NO matokeo yatatolewa hapahapa jf

Imepoteza mvuto toka Makamba amfukuze Tido wamebaki kuwa wambeya tu TBC
 
Back
Top Bottom